Mtoto wa Warioba mbaroni Dar

Mtoto wa Warioba mbaroni Dar

Mwanzo umesema tusubiri, umekataa speculation, umesema hivi: "...habari kama hii inatakiwa kwanza kujua ukweli hasa wa kilichotokea"

Halafu sasa hivi unakuja na hadithi za kwamba wanaume wanaacha wanawake zao wanaenda kuruka na June Warioba.

Traffic incident haihusiki na huo udaku.

- Habari zake nyingi za fujo zake zimekua zikifichwa na media kwa sababu ya either kumuogopa baba yake or something else, this time naona kuna mtu ameamua kummvulia uvivu, saafi sana labda atajirekebisha.

Mkuu Moelex,

- Wewe ninakuheshimu sana kwa hiyo nitaacha, lakini kama uko karibu naye mfikishie saala zangu, kwa sababu siku moja nilikuwa naye na rafiki yangu thinking kwamba she is just a friend kwa sababu huyu mtoto ni mshikaji wangu anyways, tumeenda mpaka nyumbani kwa rafiki yangu na huyu mtoto mbele ya mkewe, mimi innocent not knowing anything,

- Just one day kuja kuwa-confronted tena in an ugly way na yule mke wa rafiki yangu kwamba kwa nini tulikuja naye nyumbani kwake that day, huku nikiwa ninajua kua anajirusha na mumewe, kum-confront rafiki yangu anakubali kwamba ni kweli na kugundua baadaye ni even worse mpaka amepigwa kipigo cha mbwa na wengine wasiopenda mchezo, what an-embarassment kwa mtumzima kama mimi!

- Naomba umfikishie ujumbe wangu kwamba aache ni tabia mbaya sana na haya ndio matokeo yake, siku zote unakuwa mtu wa aibuu tupu na hapa hasa kwa baba yake!

Respect.

FMES

Hata akisoma post yako itasaidia nini wakati wewe unaangaliaga DINI ya mtu kabla ya kumtolea comment?

Hatar kubwa! una haki ya kutowa maoni kwa muono wako lakini wangu ni kama ulivyo kwenye post yangu #35 kwenye thread hii hii.
 
Duh hii kali.

Lakini bibie June Warioba amekiuka sheria zote za usalama barabarani na yeye anajua hilo.

Alisimamishwa na askari na akaendelea kuendesha gari kwa lengo la kukwepa mahojiano na polisi. Halafu pia amejaribu kutoroka kwa mara ya pili kwa minajili ya kutotaka kuhojiwa na polisi.

Hapa amekiuka sheria ya usalama barabarani kwamba ukisimamishwa na polisi unasimama pembeni mara moja kwa uangalifu unazima injini na unasubiri maswali.

Nafikiri hili ndilo kosa lake la msingi.
 
Hivi kweli tunataka kumhukumu huyu binti katika kesi ya traffic kutokana na yeye kutembea na waume za watu?
 
- Ni standards zile zile, kama tulivyomuhukumu Kinje mbona haikuwa tatizo? Tafuta mijadala ya Kinje humu ndani, au?

- Na besides, zile hela zilizotumika kumpeleka India kutibiwa kwa sababu ya ishu za waume za watu, zilikuwa ni zetu walipa kodi, sasa akifika hapa uwanja wa damu, all is fair game, talking about ufisadi. Mara ngapi hapa tumeletewa picha za watoto wasiojiweza wanaotaka kwenda India kutibiwa na wameshindwa! Hawa wanaruka na waume za watu wanapelekwa, tuna safari ndefu sana kuja kuielewa nchi yetu wenyewe.

FMES!
 
Tanzania is increasingly turning into a police state.

Not to advocate anti-police behavior, but as a civil libertarian myself I can understand her position given the god like powers the police have over citizens.

What was the reason that warranted the inspection? Or the police has a right to stop and inspect any car for any reason, or no reason? If that is the case, is civil disobedience warranted?

Mimi nilifikiri June kampiga mtu, au kafanya kitu cha kuaibisha.Katika hii non story huyu dada ana challenge a police state inayo harass wananchi unnecessarily.

Waandishi wa habari wameshindwa kui cover hii habari vizuri, sheria za barabara zinasemaje? Traffic police ana haki gani na dereva ana haki gani? Kwa nini June hakutaka hii inspection? Je ilikuwa ni jeuri tu au alikuwa na valid arguments?

unaposimamishwa na Traffic Police officer......unawajibika kusimama......usipo-obey ni Kosa
 
Haya wadau,

Huku TZ sisi tulishajizoelea tu, nikiwa mimi tayari nilishatoa hamsini zangu lakini watoto wa wakubwa ndiyo hivyo tena. Mahakamani atatozwa faini ya 20,000 tu kwa kosala la kiusalama barabarani.

Kazi kweli kweli
 
Sio nia yangu kutetea mhalifu! Lakini kwa askari traffic waiaibiasha kazi yao. Kwanza ni wezi watupu. Nasema ni wezi kwa kuwa wananyang'anya watu fedha zao. Hata kama huna kosa basi anang'ang'ana na wewe hadi umwachie fedha. Mara utawasikia ooooh mzee tuko hapa hata chai hatujanywa wanao,,,, mara hivi mara vile.
Pili hawajui hata kuhoji na wakijibiwa kweli wanakuwa wakali na kutoa lugha chafu.
Mimi kuna baadhi ya matukio yaliwahi kunikumba na hawa watu,,,, Ni masubuhi moja naelekea kibaruani kwangu, niko na watoto wangu wanaenda shule. Askari akanisimamisha, akaanza lete kadi ya gari, lete triangle, lete fire extinguisher, lete driving license yako. Kwa kuwa driving license ilikuwa kwenye pochi, mzee nikatoa pochi nitafute license,,, hamadi kuna wekundu kiasi wamepangana humo,,, jamaa jicho likamtoka kama mjusi aliyebanwa na mlango,,,, akarukia leseni yako hii ni ya wapi? Nikamjibu kiupole tu ni ya Jamhuri ya Tanzania! We wacha aanze kuniporomoshea matusi,,, ooh wewe unajifanya una amjibu ya Ki***ndu basi mi ni mb**o tutaona nani ana*****sha leo. Nilichofanya niliteremka nikazunguka upande wa pili, nikamuuliza kwa upole tu,,,, Wewe umewekwa hapa kutukana watu ama kulinda usalama na haya matusi unayotukana unaweza kutukana mbele ya wanao? Nikafungua mlango nikamwamuru aingie kwenye gari tuende kwa bosi wake akajibu kama ndo alivyoagizwa! Wacha mzee wa watu atupe documents zangu aanze kuchanja mbuga,,, na mimi niko nyuma yake. Ilikuwa kituko kweli raia anamfukuza askari. Miili yao inawaumbua bwana hakwenda mbali nikamdaka mara na wenzake wakawa wamefika tukaanza kuhojiana pale, nikaeleza yote, watoto wakaeleza ilivyokuwa,,,, Wenzake wakaanza kunibembeleza kuwa hii ni kama bahati mbaya tumsamehe tu atajirekebisha na hivi na vile, nikawauliza kama ni mimi nitakuwa nimemtukana saa hii ningekuwa wapi?hawakuwa na jibu. Nikaamua kumsamehe. Tangu siku hiyo na saluti napigiwa hiyo barabara. Ana adabu ka nini.
 
According to the police sources, Cpl Emmanuel then jumped onto the car’s front hood and hung right there, refusing to get off until Ms Warioba complied with the order.

Tushukuru Mungu kwenye tukio hili it was just 'Binti wa Warioba' otherwise this idiot could have got himself killed! Huyu ni trafiki polisi aliyepitia mafunzo na kufuzu, sidhani kama alifundishwa ku approach situation kama hii jinsi alivyofanya. Naye pia anapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu.

Degree ya risk aliyochukua askari huyu ni kubwa mno, why did he put his life on the line? Nahisi kuwa alikuwa amechukua/ameahidiwa donge nono na mtu au agizo lilitoka kwa mtu 'mzito' na he wanted to make an impression kwa kufanikisha hii mission by any means? Kuna kitu hapa I suspect....
 
Pasco,
Police wana lao moja tu wanapomkamata mtu ambaye wanahisi kafanya kosa, ni 'twende kituoni basi'. Ukienda kituoni utaulizwa na kuambiwa kosa lako. Hapo utajitetea kwa kukubali au kukanusha. Ukifanya hivyo, kinachofuata ni kupewa dhamana kama unastahili dhamana hiyo. Kwa upande wa pili, Police wana haki kisheria kumfamnya mtuhumiwa a-comply' hapa ni matumizi ya nguvu. Ukikomaa kama Bw. Pasco ulivyosema jiandae kukutana na mkono wa chuma na hatimaye kufunguliwa mashitaka na huenda ukafunguliwa mashtaka huku ukiwa na nundu na majeraha uliyopata kutoka kwa police baada ya kukaidi amri.

Huyu Binti, umesema unamjua kwamba ni mpole, kama mwandishi wa habari hii, ameandika ukweli, basi dada yetu kafanya kosa tena anastahili kufunguliwa charge, pia nachelea kusema binti huyu ana kiburi kisichoelezeka. Labda ni kwa vile alisimamishwa na mwanamke mwenzake au vipi tuseme. Nashauri unapoamriwa na mamlaka (police) ya dola wewe tii kwani ndio utaratibu then wakuambie kosa lako, kwani mara ngapi tunasimamishwa barabarani kwa ajili ya kutoa ufafanuzi wa jambo fulani na ukimaliza wanakuachia unaenda zako. Pole dada yetu kiburi kimekuponza.
Nakubaliana na wewe, I belive she was provoked sijui na nini. She used to be a good girl except for smoking ambayo sio kosa.
Nilimsifu huyu binti kwa sababu kwa hajisikii yeye ni mtoto a nani, pili ni independent, she does her own things. Kuwa mtoto wa kigogo kungempa opportunity ya kukwaa top jobs kwa mgongo wa baba, but she is not. Just on her own.
Polisi wana kila haki kwa upande wao ila polisi wengine huwa wanazidi. On the other side trafick wanawake are always fare sijui kwa wanawake wenzao.
Bado nasisitiza, kama unajua haki zako na polisi wanajua haki zao, ther is no need ya confrotation. Kwa polisi wetu, they are always right and you are always wrong, dawa ni kukomaa nao. One have to fight for your rights if you real right indeed.
 
Haya tuone Warioba atafanya nini, atamtetea mhalifu au ataacha sheria ifate mkondo.

Waandishi wa habari, hii ndio habari ya kufichuwa ufisadi, kwani huu ni ufisadi wa wanene na vipi hata watoto zao wanavyojiona kuwa wakoo juu ya sheria. Akiachiliwa bila ya sheria kufata mkondo basi itakuwa ni rushwa, ama ya pesa ama ya influence.

Afanye mwanagu hayo, saa hizi manundu mwili mzima na pengine kisha pigwa hata risasi.

*******************************
Dar es Salaam: Leo hii mkulu unasema kitu kama hicho? Yaani kuukandia ufisadi? Ninavyokuelewa post zako nyingi huwa zinakwenda against wale wanaopinga mafisadi na ufisadi. Au Warioba ni hayumo ktk wale unaotakiwa kuwatetea?
 
Naomba soma post yangu #35 kwenye thread hii hii, jibu utalipata pale.
 
Naomba soma post yangu #35 kwenye thread hii hii, jibu utalipata pale.
hongera sana dar es salaam kwa posts zako nowadays.....umeacha posts za kidini kidini.....au kwa warioba sio mneynyekevu ngoja niendelee kukusoma.......
 
... na hadithi za wanaume wa watu wenye tabia mbaya ya kuruka ruka na June Warioba...

nimependa ulivyoiweka hii. mara nyingi mkosaji anaonekana ni mwanamke
wakati wanaume wanaachwa tuuu
 
Last edited:
Hao polisi walikuwa wanataka "ulaji" tu. Kisa cha kuidandia gari..!!!
Hao polisi wanatakiwa pia washitakiwe kwa kutoa upepo katika
matairi ya gari...Destruction of private property....
 
Tanzania is increasingly turning into a police state.

Not to advocate anti-police behavior, but as a civil libertarian myself I can understand her position given the god like powers the police have over citizens.

What was the reason that warranted the inspection? Or the police has a right to stop and inspect any car for any reason, or no reason? If that is the case, is civil disobedience warranted?

Mimi nilifikiri June kampiga mtu, au kafanya kitu cha kuaibisha.Katika hii non story huyu dada ana challenge a police state inayo harass wananchi unnecessarily.

Waandishi wa habari wameshindwa kui cover hii habari vizuri, sheria za barabara zinasemaje? Traffic police ana haki gani na dereva ana haki gani? Kwa nini June hakutaka hii inspection? Je ilikuwa ni jeuri tu au alikuwa na valid arguments?
Umenikuna sana Kiranga,
Tumefikia mahali ambapo tunalazimika kukosa imani na hawa askari wetu wa barabarani kwa kwa sababu ya uonevu wanaowafanyia wananchi.Traffic police kwa kweli wamezidi kuabisha jeshi kwa maana kutwa ni kutafuta jinsi ya kujifaidisha.Pale utakapowaonyesha unajua haki zako basi wako tayari kukusingizia na hata kukubambikia mashtaka lukuki.Huyu binti alichokifanya ni kusimama kidete dhidi ya uonevu kama namna ya ku-raise alarm ili wahusika wasome ishara.Wenzetu waandishi walichokiona ni " mtoto wa Warioba" na hivyo kupata stori.Waandishi mbona mna miss opportunity?ACHENI IZO JAMANI!
 
Kweli kuna haja ya Waandishi kulivalia njuga hili swala la unyanyasaji mkubwa linalofanywa na jeshi la polisi na wakati mwingine hata JWTZ na FFU. Nakumbuka kuona picha kwa michuzi jamaa wa JWTZ akimlazimisha dreva aliyemmwagia maji siku ya mvua aingie kwenye dimbwi la maji machafu na kufanya kama anaogelea. Ile picha ilinisikitisha sana.
 
Hakuna kitu kibaya kama wakati unashughuli zako, polisi anajisogeza katikati ya barabara na kunyoosha mkono wake.

Ukisimama anakuambia hebu tuone kibali chako cha uendeshaji - unampa, mara washa taa, unawasha, kadi ya gari unampa, fire extinguisher! then you like ! ammh! i don't have that one! Jibu lake linakuwa, utahitaji kunifuata polisi.

Then you are like what! Mimi nilidhani unapaswa kunipa maelezo na onyo la mdomo ! why should i need a fire extinguisher in my car anyways! Ni sheria kijana, kwanza umepata wapi hii leseni yako! Kwa uvumilivu kabisa unajibu, leseni yangu nimepewa na vyombo vyenu vya usalama, halafu hiyo sheria ya fire extinguisher it bypass me. Could you please explain to me the rule, ilinifuate!

kama hujazoe culture ya rushwa basi lazima maongezi yako na police yaishie pabaya! Mwisho, polisi anasema fungua mlango twende kituoni! Jibu langu nakwenda kituoni, lakini sikupi lift ya kwenda huko utanikuta kituoni. Polisi akasema unakaadi taratibu za kiusalama! NIkamwambia huo utaratibu ambao umeandikwa kwenye sheria ni lazima upande gari langue twende polisi mimi siujui! Kama unahitaji kopi ya gari yangu and leseni yangu nitakupa, lakini lifti hapana. Nikamtaarifu pia atanikuta kituo chao ostabey!

kufika saint peters napigwa mkono mwingine, nakamwambia bwana polisi, mimi naelekea polisi kufuatia makoso ambayo nimekamatwa na afande hapo nyuma. Akajibu nimepigiwa redio koli umekaidi kusimama! Nikasema hapa, nilichosema sitaweza kumpa lifti ila mimi naelekea kituoni. Naye huyu akasema ni lazima tupande ili tuhakikishe unafika polisi, nikasema hapana! utanikuta hapo. Nikatia gari moto na kuelekea kituoni.

Nikafika nikajieleza, wakanizungusha hapo, mwisho nilipigwa fani za kala ainna na kufikia laki! Nikalipa na kuondoka zangu! Wakati natoka afande mmoja akaniambia, sasa vurugu yote hiyo, si ungetoa buku jero mwanzo yangekuwa yameisha! Nilitabasamu na kuendelea kutembea maana ningemjibu ningejikuta rumande kwa jazba niliyo kuwa nayo.
 
kwa kuongezea kwenye hu mfano wako,
Kuna binti wa miaka 18 alikuwa ndiyo kwanza kapata leseni yake.Akiwa anaendesha gari, akasimamishwa na traffic police.Traffic huyo alimtishia sana na kumwogopesha.Kwa vile alishasikia kuwa traffic wanapewa pesa, akachukua sh.30,000/=( the only money she had) akampa. Traffic akamlazimisha amwachie full particulars zake - jina, mobile phone number, anakokaa etc) Binti kwa woga huku akitetemeka na akiamini ndiyo utaratibu, akampa.
Basi kuanzia siku hiyi huyo traffic alikuwa haishi kutumia sms, kumtaka waonane na kutaka kujua huyo binti anafanya kazi wapi ( alikuwa amemaliza high school anangoja kwenda univ.) na mambo mengine chungu nzima ya kipuuzi maana aliamini huyo binti ana pesa sana maana alishazoea kupewa hongo ya sh. 2000 au 3000 na hakuwahi kuona kupewa 30,000/-!Kuanzia hapo binti aliogopa kabisa kundesha gari na hii stori aliitoa alipokuwa anakaribia kuondoka kwenda masomoni.
Hapa tunaona jinsi gani askari wetu walivyo waharibifu na wasiokuwa na maadili.
Alichofanya Jerry Muro wa ITV ni kitendo cha kishujaa chenye kustahili kuigwa na pia askari waone aibu kidogo maana wanajiabisha! Binafsi huwa nasema ningekuwa traffic police nadhani ningetafuta ajira mbadala maana nisingeweza kustahimili aibu hiyo ya kuonekana mla rushwa.
Kama kuna traffic police mwanachama hapa jamvini, tafadhalini pelekeni ujumbe na mjirekebishe mnatia aibu!
 
Back
Top Bottom