Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya tuone Warioba atafanya nini, atamtetea mhalifu au ataacha sheria ifate mkondo.
Waandishi wa habari, hii ndio habari ya kufichuwa ufisadi, kwani huu ni ufisadi wa wanene na vipi hata watoto zao wanavyojiona kuwa wakoo juu ya sheria. Akiachiliwa bila ya sheria kufata mkondo basi itakuwa ni rushwa, ama ya pesa ama ya influence.
Afanye mwanagu hayo, saa hizi manundu mwili mzima na pengine kisha pigwa hata risasi.