Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Sikatai, kama ni kiburi cha kuzaliwa nacho hakiishi kichwan mwake, lazima chembe chembe zibakie tu.Nyege zikimrudia kiburi kipo pale pale
Lakini kama ni kiburi cha dharau, kinakwisha chote, upendo na heshima vinatamalaki.
Ujue mkuu "bond" ya upendo kati ya mwanamke na nwanaume saazingine huungwa kwa sex, tena ngono zembe ndiyo suluhisho la fitina zote!