Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hizo tabia za vinyongo na visasi peleka huko huko Ufipa.Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
Ni chuki tu ndio wamebakiza wapuuzi hawa!Hamna cha kufanya huko chadema ndo maana unaanzisha upuuzi humu.
Nishasema asikanyage na hatokanyagaHizo tabia za vinyongo na visasi peleka huko huko Ufipa.
Nchi inafuata Demokrasia na protocol ya Diplomasia haina hicho kifungu.
Haya mambo vema umpelekee mwenyekiti wa kamati ya wapika sumu.... #Kubenea atumie kwenye kijarida chake ili apate neno la kuuzia karatasi zile.
Kauli zake zina madhara gani kwa Tanzania mpaka sasa?
Je!
Unaujua hata mchango wa Museveni na Kagame walioutoa wakati tukipigana na na Idd Amin?
Je!
Je unajua kwamba Museveni,kwa kuipenda Tanzania,alilazimika kubatilisha mpango wa bomba la mafuta Hoima-Mombassa na kulileta Tanzania kwenda Tanga?
Unajua kwamba Muhoozi ni mzaliwa wa hapa Tanzania?
Hizo chuki za #Chadema haziwajengi hata kidogo.halafu mnataka kushika dola?
Labda ya kule Rundugai!
Naunga mkono hoja. Yule hayuko sawa hata kidogo upstairs halafu ni mlevi mbwa wa pombe.Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
Toto jenerali kubwa jinga!Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
Hamna cha kufanya huko chadema ndo maana unaanzisha upuuzi humu.
Mtoto wa Museveni ni mjinga, tena ni mjinga hasa, asipoangaliwa atamponza baba yake na ataharibu mahusiano ya Uganda na mataifa jirani kidiplomasia.Hizo tabia za vinyongo na visasi peleka huko huko Ufipa.
Nchi inafuata Demokrasia na protocol ya Diplomasia haina hicho kifungu.
Haya mambo vema umpelekee mwenyekiti wa kamati ya wapika sumu.... #Kubenea atumie kwenye kijarida chake ili apate neno la kuuzia karatasi zile.
Kauli zake zina madhara gani kwa Tanzania mpaka sasa?
Je!
Unaujua hata mchango wa Museveni na Kagame walioutoa wakati tukipigana na na Idd Amin?
Je!
Je unajua kwamba Museveni,kwa kuipenda Tanzania,alilazimika kubatilisha mpango wa bomba la mafuta Hoima-Mombassa na kulileta Tanzania kwenda Tanga?
Unajua kwamba Muhoozi ni mzaliwa wa hapa Tanzania?
Hizo chuki za #Chadema haziwajengi hata kidogo.halafu mnataka kushika dola?
Labda ya kule Rundugai!
[emoji16][emoji38]Nishasema asikanyage na hatokanyaga
Anaweza kuwa mlashisha miksa sembe🤸🤸Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
kwhy mumeachan na habar za tozo , ,kalynda na masanja ss hv mumeamia kwa Muhoozi museveniHuyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
Mbona kama nimetokea kumkubali sana yani......twitter nimem follow yeye na mama samia tu......Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .