Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Waache CCM wajikombe kwa huyo Muhoozi maana wanamuogopa siku akirithi madaraka atawasumbua kama Idi Amini alivyomsumbua Nyerere. Wanamjua ni mtu fyatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninakusihi uwape pole zao nyingi waGanda.Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
Wewe acha alete pesaHuyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
At the end ndio mnategemewa kuivusha Chadema, kwa akili hizi endeleeni kutukana matusiNishasema asikanyage na hatokanyaga
On a serious note najisikia vibaya Kumjadili kwani mwaka 2014 alifanya Ziara Binafsi nchini Tanzania ambapo Mimi GENTAMYCINE na Mtu Mmoja Muhimu ambaye alikuwa Mmoja wa Confidants wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ( kutokana na Ukaribu wetu wa Kiurafiki wa Kifamilia ) tulimpokea huyu Muhoozi Kainerugaba ( Mtoto wa Rais Museveni ) na Kumtembeza maeneo yote Muhimu aliyotaka kama pale Upanga alipozaliwa, Chuo Kikuu alikosoma Baba yake na tukampeleka hadi katika Chumba alichokuwa akilala Baba yake, tukampeleka Nyumba ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ile ya Magomeni ambayo sasa ni Makumbusho kisha tukamualika kwa Chakula Nyumbani ambapo tulizungumza mengi na kumrejesha inayoitwa Serena Hotel sasa Ili Kujiandaa Kurejea Kwao nchini Uganda.Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
Duh!..Nishasema asikanyage na hatokanyaga
Inasikitisha sana aisee.Kama makada wenyewe wa chadema ndo huyu mtoa mada, chama kifumuliwe HARAKA sana
Who are you by the way ? wewe ni mtu mdogo sana na hujui kitu , endelea kuwa chawaAt the end ndio mnategemewa kuivusha Chadema, kwa akili hizi endeleeni kutukana matusi
Siyo za vichaaNa wewe kila siku unalilia freedom of expression hapa Tz?Ajabu sana
Amezaliwa kayanga, karagwe hukoMuhoozi alizaliwa Dar es salaam mwaka 1974. Ingekuwa Tanzania kuna dual citizenship angefuzu kuwa Mtanzania kwa kuzaliwa.
Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
sababu zimewekwa waziharuhusiwi kivipi kukanyaga tanzania wakati yeye kazaliwa tanzania na anaiheshimu tanzania wewe ni nani kumzui mtu kuja tanzania. wewe mbona unaoneka mtu wa burundi lakini unaishi tanzania
Gen. Muhoozi ni mtanzania mwenzetu akiwa amezaliwa Dslam. Unapata wapi haki we mtu wa Ipinda( Malawi ya zaman) kuhamasisha mtized halisi asiruhusiwe kurudi kwenye nchi yake ya kuzaliwa?Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .
Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
Mkuu kumbe hupo? Ni kitambo jamvin. Bado unaendeshaga trela. Tatizo lako kila baada ya kilomita 20 unasimama kwa mama ntilie kula na porojo. Unatumia wiki nzima kufika ZambiaNawakumbusha tu Muhoozi alizaliwa Moshi kabla Baba yake hajahamia Dar , hiyo ni taarifa ndogo sana muijue msiofahamu historia,
Alizaliwa moshiGen. Muhoozi ni mtanzania mwenzetu akiwa amezaliwa Dslam. Unapata wapi haki we mtu wa Ipinda( Malawi ya zaman) kuhamasisha mtized halisi asiruhusiwe kurudi kwenye nchi yake ya kuzaliwa?
Acha ujinga wewe upendo au maslahi?Hizo tabia za vinyongo na visasi peleka huko huko Ufipa.
Nchi inafuata Demokrasia na protocol ya Diplomasia haina hicho kifungu.
Haya mambo vema umpelekee mwenyekiti wa kamati ya wapika sumu.... #Kubenea atumie kwenye kijarida chake ili apate neno la kuuzia karatasi zile.
Kauli zake zina madhara gani kwa Tanzania mpaka sasa?
Je!
Unaujua hata mchango wa Museveni na Kagame walioutoa wakati tukipigana na na Idd Amin?
Je!
Je unajua kwamba Museveni,kwa kuipenda Tanzania,alilazimika kubatilisha mpango wa bomba la mafuta Hoima-Mombassa na kulileta Tanzania kwenda Tanga?
Unajua kwamba Muhoozi ni mzaliwa wa hapa Tanzania?
Hizo chuki za #Chadema haziwajengi hata kidogo.halafu mnataka kushika dola?
Labda ya kule Rundugai!