Mtoto wa Yoweri Museveni asiruhusiwe kukanyaga Tanzania, Siyo mzima

Hizo tabia za vinyongo na visasi peleka huko huko Ufipa.
Nchi inafuata Demokrasia na protocol ya Diplomasia haina hicho kifungu.
Haya mambo vema umpelekee mwenyekiti wa kamati ya wapika sumu.... #Kubenea atumie kwenye kijarida chake ili apate neno la kuuzia karatasi zile.

Kauli zake zina madhara gani kwa Tanzania mpaka sasa?
Je!
Unaujua hata mchango wa Museveni na Kagame walioutoa wakati tukipigana na na Idd Amin?
Je!
Je unajua kwamba Museveni,kwa kuipenda Tanzania,alilazimika kubatilisha mpango wa bomba la mafuta Hoima-Mombassa na kulileta Tanzania kwenda Tanga?
Unajua kwamba Muhoozi ni mzaliwa wa hapa Tanzania?

Hizo chuki za #Chadema haziwajengi hata kidogo.halafu mnataka kushika dola?

Labda ya kule Rundugai!
Kigololi kimeshakushuka mbwiga
 
Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .

Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI

Kafanyaje tena!?
 
Marafiki zake wa karibu na sishangai kusikia Watu wakisema akapimwe Akili kwani hata huyo Nyerere's Confidant niliyekuwa nae Siku Tatu tu zimepita Kaniuliza je, nadhani Muhoozi yuko sawa Kichwani nikamjibu sidhani na akasema kwa atajitahidi Yeye na Nyerere's Confidant mwingine waende Uganda Kuonana na Baba yake ili amweke sawa Mwanae kwani anamuharibia Baba yake na itaharibu hata hii Jumuiya yetu.
Utakuwa unatania.

Yule ni 'Army General' sasa. Hiyo habari ya "mtoto" amusikilize baba, mtu mwenye umri wa miaka 49?
Hivi watu akili huwa mnazikabidhi wapi mnapoandika habari kama hizi!

Acha amenyane na baba yake, huenda hapo ndipo Uganda itapata ahueni.
 
Hopeless.
 
Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .

Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
maombi ya waganda hayo wa familia moja kuhohi nchi, mtu teyari ameanza kuchanganyikiwa akili.
 
Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein .

Huyu hatakiwi kuruhusiwa kukanyaga ardhi ya Tanzania hadi kiama , ITAKUWA AIBU SANA KWA TANZANIA KUPOKEA MGENI DUNI KAMA MUHOOZI MUSEVENI
Ajaribu tz tuje kumpumulia kisogo kmmqe,babake mwenyewe kachukua nchi kwa msaada wetu,ndugu yake GENTAMYCINE huyo na nashangaa hamkanyi mshkaji wake
 
Mtoto wa Museveni ni mjinga, tena ni mjinga hasa, asipoangaliwa atamponza baba yake na ataharibu mahusiano ya Uganda na mataifa jirani kidiplomasia.

Mfano, ni kauli aliyoitoa dhidi ya Kenya hivi karibuni kupitia mtandao wa twitter, kwamba ana uwezo wa kuiteka Nairobi ndani ya muda mfupi, mpaka baba yake akalazimika kuomba msamaha kwa wakenya.
MATAGA hawawezi kukuelewa, yaani wamekaa tu kama mazombi yanayoendeshwa na rimoti kutokea lumumba
 
Ajaribu tz tuje kumpumulia kisogo kmmqe,babake mwenyewe kachukua nchi kwa msaada wetu,ndugu yake GENTAMYCINE huyo na nashangaa hamkanyi mshkaji wake
Ni kweli kabisa Mdogo wangu wa Damu steveachi huyu Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Mtukutu Muhoozi Kainerugaba Kifamilia na Kiurafiki ni Kaka na Ndugu pia kwa Heshima ya Mzazi wangu na Mzazi wake ( Rais Museveni ) na pia kwa Ukaribu wa Familia nzima ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Kuhusu huu Upuuzi wa Muhoozi Kainerugaba ni kwamba hata Mzazi wangu, Familia ya Hayati Baba wa Taifa pamoja na Watu wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere ( MNF ) Wamechukizwa sana na hili ( hiki ) anachokifanya.

Kuna Watu Maalum ( akiwemo Mzazi wangu ) muda wowote kuanzia sasa wanaenda nchini Uganda kuonana na Baba yake Mzazi Rais Museveni na GENTAMYCINE nina Imani Kubwa kwa Heshima Kubwa aliyonayo Rais Museveni Kwao ( dhidi yao ). basi atawasikiliza na atamuonya mazima Mwanae kwakuwa hawa Watu Maalum wanaoenda Kumuona ndiyo kwa 99% wamemfanya Rais Museveni awe Rais wa Uganda kwa Uratibu mkubwa wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Binafsi Mwenyezi Mungu akipenda na Kubariki zaidi ama mwishoni mwa Mwaka huu 2022 au mapema mwanzoni mwa Mwaka ujao 2023 nitakuwa kwa Rais Museveni kwa Jukumu Maalum na nitakuwa Jirani na Mama ( First Lady Janet ) na Watoto wao hasa huyu Muhoozi na Dada yake Natasha ambao nina Ukaribu nao mkubwa kwakuwa Wote wamezaliwa Upanga Dar es Salaam Tanzania na wamekuwa pia wakija mara kwa mara Tanzania katika Matukio mbalimbali ya Kifamilia zetu na Urafiki wetu.

Mwisho labda nichukue Fursa hii Kuwaombeni Radhi Watanzania ambao kiukweli Mnachukizwa na haya ayafanyayo Muhoozi Kainerugaba kwani kiukweli hata Mimi pamoja na Wanafamilia wa huku Tanzania tumekwazika nalo ila muda si mrefu litakwisha.

Tunachokiona sasa ni kuwa huenda huyu Muhoozi Kainerugaba akawa na tatizo fulani Kichwani ( anadata ) au Kupendwa kupita kiasi na Kudekezwa mno na Baba yake huku akipewa Majukumu makubwa ya Kijeshi na Kiserikali ndiyo yamemponza na kumpa hizi Jeuri zote na hiki Kiburi chake chote.

Kuhusu Yeye Kuichokoza au kuisema vibaya Tanzania hilo nawatoeni Hofu Watanzania ( wana JamiiForums ) kuwa mara zote ambapo nilikuwa nae 1996 - 2002 Kwao Ikulu ya Nakasero nchini Uganda na kule Kijijini Kwao Rwakitura, Shambani Kisozi na Milimani kule Ntungamo na mwaka 2014 hadi katika Mawasiliano ya Simu na Mtandao hakuna nchi anbayo Muhoozi Kainerugaba anaipenda, anaiheshimu na anaigopa Kijeshi na Kiusalama ( Kiujasusi ) kama Tanzania yetu hii hivyo ondoeni Hofu na nasisitiza kuwaombeni kuwa Msameheni.

Asanteni.

Cc: Erythrocyte
 
16652936819768.jpg
 
Sijawahi kuwa na shaka na taarifa zako kaka yangu,hii naamini ni certified kutoka chanzo cha ndani kabisa kutokana na ukaribu na urafiki wa tangu na tangu wa Baba yako mzazi alionao na Mzee Museveni.

Mkanyeni bwana huyo ndugu yako
 
Usijali hata Baba yako Mkubwa ( Baba ) amekwazika mno na hili la Muhoozi Kainerugaba hivyo muda wowote kuanzia sasa Yeye na Watu wengine Watano ( Wanaoheshimiwa na Kusikilizwa sana na Rais Museveni ) wanaenda Kuonana nae juu ya hili na wameniahidi kuwa watakutana pia na ( Mtoto wake huyo ) Muhoozi Kainerugaba Mwenyewe.

Niamini mdogo wangu litaisha upesi.
 
Amina Kaka
 
Back
Top Bottom