Mtoto wa Yoweri Museveni asiruhusiwe kukanyaga Tanzania, Siyo mzima

Uongo mtupu !
 
Wakuu

Fikirieni upya

Kuna chakula kinapikwa kikiiva tutaletewa tule!

Wamebadili style TU!zamani majibizano yalikuwa kati ya mseven na pk,leo ni mseven na Mtoto wake!!

Inatafutwa namna ya dogo kushika hatamu na kubadili sera za waganda na siasa ZAO!!

Yaani escape route ya u dictator kupitia muhoz na sio vinginevyo!!

Uganda mpya itazaliwa!

TUSUBIRI
 
Amedata?? Kwani ni lini amewahi kuwa na akili timamu? Huyu mzee ameanza kuvuta bangi na kuwa mlevi kitambo sana nakumbuka siku ya graduation ya M.A ya Mama Janet pale UCU Mukono alikuja vyoo vya hosteli huku za Nsibambi kuvuta bangi huku tayari "amelewa chakari" it was so embarrassing!! Tokea pale nikajua huyu jamaa ni mhuni tu Wala hana uongozi wowote zaidi ya kubebwa bebwa.

So mkienda, mumshauri tu awe manager wa club za pombe ila kusema eti anadata au anapendwa sana sio hoja maana ni mvuta bangi miaka yote na wewe unajua Hilo.
 
Mkuu Hilo haliwezekani, mpango ulikua mapinduzi then Muhoozi awe Rais lakini plan ilifeli tokea 2017 na majenerali wale top wote eg Tinyefunza, either walikufa au walitoroka nchini baada ya kugomea plan Ile.

Ni hivi siku Museveni anadondoka UG itapasuka kati kati wagganda (Central) watataka Chao na wanyankole (Westerners) watataka Chao so hapo Muhoozi hana pa kupitia unless yatokee mauaji makubwa zaidi katika historia ya Afrika.
 
Kwahiyo chuki za ndugu yako mmoja ndio una summarise ni chadema wote?
Unakumbuka tumbua ya JPM nani aliyefurahia zaidi ya Wana CCM? si ni nyie mlikua mnalalamika vijana wa Chadema kuwatetea waliotumbuliwa??

Acheni kuspin, Chadema haijawahi furahia downfall ya mtu yeyote wa serikalini unless unadhani Kigogo na mange ni chadema whilst ni CCM wale.
 
Akituletea ujinga tutampiga hadi achanganyikiwe
 
Mkuu

Kwani muhoz yupo wapi kwa Sasa!?

Yupo
uganda au nje ya uganda na anatumika kwa cheo kipi!!?

Kama ni kweli alitaka kupindua mseven asingemuacha hai hadi leo!

Labda ni game ilichezwa ile!yaani walicheza na maisha ya majenerali!!

Plan yao ipo pale pale!!

Nqkumbuka huyu muhoz kanerugaba alienda kwa kagame na kupewa ng'ombe aina ya inyambo HUYU!!

Kuna jambo lao!

Wanatuchezea akili tu!!
 
Ma ccm wanatqbia za kishenzi kuliko huyo museven junior!!
Aje tu,wakati anakutana na Samia,ampige busu tu
 
Mkuu hayakuwa mapinduzi ila ilikua namna ambayo walitaka ionekane kama jeshi limempindua M7 alafu Muhoozi ndio shujaa kuwakomboa wagganda.

Plan B kama uliona wagombea Urais wote Wenye nguvu walikua wanyankole wenzie M7 kuanzia Besigye mpaka Mugisha Muntu yote ilikua ni exit plan ya M7 kama itatokea la kutokea basi utawala ubaki nyumbani kwake.

Ila Boni Wine ame complicate hizo hesabu maana wagganda ambao ndio wengi zaidi wamepata mgombea wao na chama Chao hivyo hakuna namna Muhoozi atarithi huku Kabaka (Chifu wa wagganda) anamuangalia tu.

Naona Giza kubwa hapo mbele
 
Bangi huwa mnaionea tu ni akili zake ziko hivyo
cc: Ganja ni dawa
 
Wana matatizo sana

Tena sio madogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…