Mtoto wako akikuuliza swali ili utamjibu nini...

Mtoto wako akikuuliza swali ili utamjibu nini...

baba anjela

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
431
Reaction score
310
Mwanangu Wa darasa la 3 kaniuliza swali ili .... Baba, sisi ni watanzania na tumepata uhuru , mbona shuleni tunakatazwa kuongea kiswahili na tunalazimishwa kuongea English tena wameweka na bango NO ENGLISH NO SERVICE...
 
Ji

Jibu jifunze kuishi kulingana na mazingira mwanangu🤔.
 
Mjibu...nyumbani ukiongea kiswahili kuna anaekuzuia?akijibu hapana. Mwambie huo ndyo uhuru ulionao!! Mengine mtoto hujifunza mwenyewe akiwa mtu mzima!!
 
Kujua lugha zaidi ya moja hakuna ubaya wowote...
 
Uhuru pia una mipaka huwezi kuwa huru na ukafanya chochote unachojisikia
 
Kwa sababu wanakuandaa kuja kwenda kuishi kwenye ulimwengu wa wasiojua kiswahili
 
Back
Top Bottom