mtafiti muelewa
Senior Member
- Oct 16, 2013
- 186
- 103
Yana sifa gani hayo maziwa... yanaongeza hamu ya kula Au?
from china? / bei gani?
yana sifa nyingi sana miss chagga. mojawapo ikiwa kuongeza hamu ya kula. but yana calcium kwa wingi ambayo itasaidia ukuwaji wa mifupa imara na meno imara pia.
yana sifa nyingi sana miss chagga. mojawapo ikiwa kuongeza hamu ya kula. but yana calcium kwa wingi ambayo itasaidia ukuwaji wa mifupa imara na meno imara pia.
A
42,000 kwa ltr ngapi na anatumiaje ,na inaishakwa mudagani
hayawezi kuwa bora kuliko maziwa ya mama. But kama ameacha kunyonya ni mazuri sana kwake.Yanatofautiana vipi na maziwa mengine anayopata huyo mtoto, kuanzia maziwa ya mama au yauzwayo kwa label tofauti pale mtoto x alipo? Ni kwa calcium ya nyongeza au kuna zaidi?
kama anaweza kumumunya yatamfaa coz yako kwenye mfumo wa pipi. so kama hutaki kuchemsha maji na kuweka hayo maziwa basi unaweza kumpa as pipi na atafurahia coz ni matamu sana.Dah.. Nimefungua huu uzi kwa hamu kweli nikidhani nimepata suluhisho?
Mtoa mada hata maziwa hanywi kabisaaa sijui nianzeje kumpa hayo maziwa tajwa!
Habari za asubuhi wana JF? Natumai mu wazima na mnaifurahia weekend tulivu kabisa.
Sasa leo nimekuja kuwapasha habari wale WAZAZI ambao watoto wao kula ni tatizo.
Afya binadamu inajengwa na chakula kwa asilimia nyingi sana. Kwa hivyo mtoto asipopenda kula inamaana atakuwa anajiandaa kuwa na afya mgogoro kitu ambacho hakuna mzazi anapenda kitokee.
Kuna maziwa yanaitwa DR COW CALCIUM MILK CANDY. Maziwa haya ni suluhisho kwa mtoto wako asiyependa kula.
Kwahivyo basi kama mwanao anatatizo kama hilo nitafute kupitia 0759077008 niweze kukusaidia.
Asanteni sana
A
42,000 kwa ltr ngapi na anatumiaje ,na inaishakwa mudagani
Dr Cow Calcium Milk Candy
A milky healthy treat
- 1 Calcium Milk Candy = 1 cup of milk
- Strengthen children teeth and bone
- Made of New Zealand natural milk of superior quality
- Perfect daily diet for children
- See more at: Products | Medical Lifestyle Center
Dosage
Tablets
Full Cream Milk Powder, Calcium Carbonate
Milk calcium candy is made from New Zealand natural milk of superb quality. Its calcium content can strengthen teeth and bone health. 4 tablets of Dr Cow Milk Calcium Candy is equivalent to the 200ml fresh milk calcium, which is the calcium needs for children every day. Take this as a supplement to your childrens daily diet to help maintain healthy growth.
1 to 5 tablets a day. Chew before swallow
[TD="width: 122"] Ingredients[/TD]
[TD="width: 122"] Function[/TD]
[TD="width: 122"] Suggested Use[/TD]
oohhy mjaribishe tu hay a nahisi huyu nimmchaga mwenzetu awezileta kisaka tukalisha watotowetuDah.. Nimefungua huu uzi kwa hamu kweli nikidhani nimepata suluhisho?
Mtoa mada hata maziwa hanywi kabisaaa sijui nianzeje kumpa hayo maziwa tajwa!
Wa Bongo kwa madili?.
Anyway afya zetu wengi ni matatizo kwa hiyo kama kuna mbadala siyo mbaya,lakini kwani utumie Product toka kiwandani wakati maziwa ya Ng'ombe yako kibao mitaani
Lusuva usiwe na shaka. Haya maziwa yana kibali cha TFDA hayana tatizo kabisa.yana kibali cha TFDA?
Wa Bongo kwa madili?.
Anyway afya zetu wengi ni matatizo kwa hiyo kama kuna mbadala siyo mbaya,lakini kwani utumie Product toka kiwandani wakati maziwa ya Ng'ombe yako kibao mitaani