Mtoto wako ana tatizo la kutokupenda kula?

Mtoto wako ana tatizo la kutokupenda kula?

mtafiti muelewa

Senior Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
186
Reaction score
103
Habari za asubuhi wana JF? Natumai mu wazima na mnaifurahia weekend tulivu kabisa.
Sasa leo nimekuja kuwapasha habari wale WAZAZI ambao watoto wao kula ni tatizo.
Afya binadamu inajengwa na chakula kwa asilimia nyingi sana. Kwa hivyo mtoto asipopenda kula inamaana atakuwa anajiandaa kuwa na afya mgogoro kitu ambacho hakuna mzazi anapenda kitokee.
Kuna maziwa yanaitwa DR COW CALCIUM MILK CANDY. Maziwa haya ni suluhisho kwa mtoto wako asiyependa kula.
Kwahivyo basi kama mwanao anatatizo kama hilo nitafute kupitia 0759077008 niweze kukusaidia.
Asanteni sana
 
Attachments

  • DR COW.jpg
    DR COW.jpg
    7.2 KB · Views: 723
Yana sifa gani hayo maziwa... yanaongeza hamu ya kula Au?
 
yana sifa nyingi sana miss chagga. mojawapo ikiwa kuongeza hamu ya kula. but yana calcium kwa wingi ambayo itasaidia ukuwaji wa mifupa imara na meno imara pia.

Yanatofautiana vipi na maziwa mengine anayopata huyo mtoto, kuanzia maziwa ya mama au yauzwayo kwa label tofauti pale mtoto x alipo? Ni kwa calcium ya nyongeza au kuna zaidi?
 
A
42,000 kwa ltr ngapi na anatumiaje ,na inaishakwa mudagani
 
Dah.. Nimefungua huu uzi kwa hamu kweli nikidhani nimepata suluhisho?

Mtoa mada hata maziwa hanywi kabisaaa sijui nianzeje kumpa hayo maziwa tajwa!
 
A
42,000 kwa ltr ngapi na anatumiaje ,na inaishakwa mudagani

yako katika mfumo wa pipi. na kuna vipipi 100 kwenye box. anatumia kipipi kimoja mpaka vitano kwa siku. so anaweza kutumia kwa siku 20. unachemsha maji then unaweka hivyo vipipi anakunywa. kama ni mkubwa amefikia hatua ya kumumunya unaweza kumpa amumunye.
 
Yanatofautiana vipi na maziwa mengine anayopata huyo mtoto, kuanzia maziwa ya mama au yauzwayo kwa label tofauti pale mtoto x alipo? Ni kwa calcium ya nyongeza au kuna zaidi?
hayawezi kuwa bora kuliko maziwa ya mama. But kama ameacha kunyonya ni mazuri sana kwake.
 
Dah.. Nimefungua huu uzi kwa hamu kweli nikidhani nimepata suluhisho?

Mtoa mada hata maziwa hanywi kabisaaa sijui nianzeje kumpa hayo maziwa tajwa!
kama anaweza kumumunya yatamfaa coz yako kwenye mfumo wa pipi. so kama hutaki kuchemsha maji na kuweka hayo maziwa basi unaweza kumpa as pipi na atafurahia coz ni matamu sana.
 
du kumbe tangazo la biashara !!!! itabidi ulipie ucpende vya bure
 
Habari za asubuhi wana JF? Natumai mu wazima na mnaifurahia weekend tulivu kabisa.
Sasa leo nimekuja kuwapasha habari wale WAZAZI ambao watoto wao kula ni tatizo.
Afya binadamu inajengwa na chakula kwa asilimia nyingi sana. Kwa hivyo mtoto asipopenda kula inamaana atakuwa anajiandaa kuwa na afya mgogoro kitu ambacho hakuna mzazi anapenda kitokee.
Kuna maziwa yanaitwa DR COW CALCIUM MILK CANDY. Maziwa haya ni suluhisho kwa mtoto wako asiyependa kula.
Kwahivyo basi kama mwanao anatatizo kama hilo nitafute kupitia 0759077008 niweze kukusaidia.
Asanteni sana

kabla cjamtafutia mtoto nayahitaji mimi kwanza nakula kwa shida sana nielekeze vizur ninunue nijaze ndoo niwe nakunywa kila saa. cjui hata natafuta hela ya nini
 
A
42,000 kwa ltr ngapi na anatumiaje ,na inaishakwa mudagani

Wa Bongo kwa madili?.
Anyway afya zetu wengi ni matatizo kwa hiyo kama kuna mbadala siyo mbaya,lakini kwani utumie Product toka kiwandani wakati maziwa ya Ng'ombe yako kibao mitaani

Dr Cow Calcium Milk Candy

A milky healthy treat

  • 1 Calcium Milk Candy = 1 cup of milk
  • Strengthen children teeth and bone
  • Made of New Zealand natural milk of superior quality
  • Perfect daily diet for children
Dosage
  • dot2.gif
    Tablets

  • dot2.gif
    Full Cream Milk Powder, Calcium Carbonate

  • dot2.gif
    Milk calcium candy is made from New Zealand natural milk of superb quality. Its calcium content can strengthen teeth and bone health. 4 tablets of Dr Cow Milk Calcium Candy is equivalent to the 200ml fresh milk calcium, which is the calcium needs for children every day. Take this as a supplement to your children’s daily diet to help maintain healthy growth.

  • dot2.gif
    1 to 5 tablets a day. Chew before swallow

[TD="width: 122"] Ingredients[/TD]

[TD="width: 122"] Function[/TD]

[TD="width: 122"] Suggested Use[/TD]
- See more at: Products | Medical Lifestyle Center
 
Dah.. Nimefungua huu uzi kwa hamu kweli nikidhani nimepata suluhisho?

Mtoa mada hata maziwa hanywi kabisaaa sijui nianzeje kumpa hayo maziwa tajwa!
oohhy mjaribishe tu hay a nahisi huyu nimmchaga mwenzetu awezileta kisaka tukalisha watotowetu
 
Wa Bongo kwa madili?.
Anyway afya zetu wengi ni matatizo kwa hiyo kama kuna mbadala siyo mbaya,lakini kwani utumie Product toka kiwandani wakati maziwa ya Ng'ombe yako kibao mitaani

maziwa ya ng'ombe gani unayoyazungumzia haya haya wanayotia maji! Na kwanini unapoumwa unakimbilia kunywa vidonge badala ya dawa za asili
 
Wa Bongo kwa madili?.
Anyway afya zetu wengi ni matatizo kwa hiyo kama kuna mbadala siyo mbaya,lakini kwani utumie Product toka kiwandani wakati maziwa ya Ng'ombe yako kibao mitaani

Quality ndugu. maziwa ya ng'ombe siyo mabaya ila haya ni mazuri zaidi. just try once then utaniambia tofauti mwenyewe.
 
Back
Top Bottom