Mtoto wako anatumiaje Likizo hii?

Joined
Aug 18, 2026
Posts
22
Reaction score
13
Usiruhusu mtoto wako apoteze muda mwingi bila kujifunza! Muda wa likizo ni fursa nzuri ya kumsaidia mtoto kuongeza maarifa, kuboresha ufaulu na kujiandaa kwa muhula unaofuata.

βœ… Tunatoa huduma ya HOME TUITION ambapo mwalimu anakuja nyumbani kwako kumfundisha mtoto.

πŸ“– TUNAFUNDISHA:
πŸ”Ή Watoto wa Nursery na Kindergarten
πŸ”Ή Primary School
πŸ”Ή Secondary School
πŸ”Ή Wanafunzi wanaohitaji msaada wa ziada katika masomo
πŸ”Ή Watoto wenye mahitaji maalumu
πŸ”Ή English Language
πŸ”Ή Kiswahili na masomo mengine
πŸ”Ή Computer, Music, Swimming na Sign Language

⭐ FAIDA ZA HOME TUITION:
βœ… Mtoto anafundishwa kulingana na uwezo wake.
βœ… Anapata uangalizi wa karibu kutoka kwa mwalimu.
βœ… Anasaidiwa kuboresha maeneo yenye changamoto.
βœ… Anajiandaa mapema kwa muhula unaofuata.
βœ… Mzazi anaweza kuchagua muda unaofaa kwa mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…