Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Ukweli mtoto wa kike ni moyo nafuraha ya babaKama mtoto wa kike ndugu, chukua mlee aisee, achana na ushuzi w DNA, Tena mnafannana fanana, chukua mtoto huyo.
NOTHING BEATS A LOVING DAD TO HIS DAUGHTER.
Kwanza raha sana kulea mtoto wa kike aisee, sijui nikwambiaje.
Sio shida mtoto anahitaji upendoZaeni Elimu Ni Bure
DNA za Bongo ni za mchongo sana!
Mkuu Mpende Tu Huyo Mtoto Kitanda Hazai HaramSio shida mtoto anahitaji upendo
Kapime DNA upate uhakika, kwa wanawake wa sasa inawezekana hata nyie wote wawili mtoto sio wenu.
Mwamba akapime DNA hata akute mtoto ni wake yeye atoe huduma tu kwa mtoto ila sio kigezo cha kufanya maisha na huyo mwanamke. Kwa nini? Kuna sababu mbili kuu
Haya ni maelekezo muhimu sana kufuatwa.Mwamba akapime DNA hata akute mtoto ni wake yeye atoe huduma tu kwa mtoto ila sio kigezo cha kufanya maisha na huyo mwanamke. Kwa nini? Kuna sababu mbili kuu
KWANZA, mwanamke ni malaya. Nimeona kuna sehemu mwamba anasema demu alikuwa anaishi na jamaa wana mtoto mmoja.
Imagine jamaa kaja Dar tu leo anaomba mzigo kesho anatunukiwa hiyo tayari ni red flag kuwa manzi ni malaya na hata hajui baba wa mtoto ni nani inaonyesha anatombesha sana.
PILI, akifanya naye maisha kisa tu mtoto ni wake atakuwa amefanya maisha na single maza. Na kanuni zetu ni zilezile inapohusu single maza:
●Hatulei bao la mwanaume mwingine
●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake
●Single maza waolewe na baba za watoto wao
●Single maza ni wa kupiga na kusepa
Mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza
Learn or perish
Hivi kwanini wanaume wengi mnapenda watoto wa kike Zaidi especially wale wanaume ambao Ni vicheche wanapenda Sana watoto zao za kike Kulikov kiumeUkweli mtoto wa kike ni moyo nafuraha ya baba
Daaaah umelonga mkuuKapime DNA upate uhakika, kwa wanawake wa sasa inawezekana hata nyie wote wawili mtoto sio wenu.
Hakuna hiyo kitu Mkuu DNA Mamlaka haiwezi kufanya huo ujinga B'se kuna sehemu nyingi za kupima DNA Kwaiyo Hawezi kukupa majibu ya uongoDuuh, aisee!
Kama hili ni kweli (jaribu kuhakiki) basi mtoto atakuwa ni wako.
Kuhusu kupima DNA, kwa kuwa mama hana uwezo wa kipato kutunza mtoto utapewa matokeo ya mchongo
DNA ni laki 3 mkuu anachukuliwa sample MTOTO, baba na mamaNawaza ilo ila laki tano inauma sana
Mkuu lete 300k then nitakuchukua sample wewe na mwanao then nitakupa majibu kama ni wako au sio wako lakin sitakupa evidence yoyote majibu nitakupa kwa mdomo tu kama upo tayariNawaza ilo ila laki tano inauma sana