Mtoto wangu ana baba wawili

Kapime DNA upate uhakika, kwa wanawake wa sasa inawezekana hata nyie wote wawili mtoto sio wenu.
Nimecheka sana hii comment, hapo umemkatisha matumaini muhusika moja Kwa moja.!

Nasikia ukienda kupima DNA lazima waseme mtoto ni wako ili kuweka mambo sawa.

Nafikiri alee tu so longer anafanana na hesabu zimethibitisha n wake haina shida.
 
Ukitaka kujua ukweli, tishia kama unataka umchukue mtoto akalelewe na bibi yake yaani mama yako uone, akiruhusu huyo mtoto n wako, akigoma basi jua siku ulipompitia wewe next day akaenda kudaka Kwa mwingine
 
Nishamtishia DNA wala hata hawazi na anajua nina kipato kikubwa tu cha kumudu
 
Nimecheka sana hii comment, hapo umemkatisha matumaini muhusika moja Kwa moja.!

Nasikia ukienda kupima DNA lazima waseme mtoto ni wako ili kuweka mambo sawa.

Nafikiri alee tu so longer anafanana na hesabu zimethibitisha n wake haina shida.
Duuh ndivyo ilivyo tena laki tano wanaila kiwepesi hivyo
 
Mkuu lete 300k then nitakuchukua sample wewe na mwanao then nitakupa majibu kama ni wako au sio wako lakin sitakupa evidence yoyote majibu nitakupa kwa mdomo tu kama upo tayari
Sawa
 
Mnapendaga tu kutusimulia yaliyowakuta...Sasa ndio swali Gani Hilo?
 
Kam ulipg hesabu za mtoto kujifung Tareh x mwez x na ikawa bas n wako

NO 2. Kafanye DNA za kienyeji
Kwenye DNA za kienyeji awe makini asije ongeza mlemavu kwenye jamii
 
Daah inaumiza kweli, kama mnafanana take the duty..
 
• Da pole sana aise... ☹️☹️,

• Nipo kwenye sekeseke kama lako hili, now kesi ipo mahakamani...

• Mahakama nimeigomea kuwa siwezi kulea mtoto , mpaka tupime DNA kwanza.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…