Mtoto wangu ananishangaza

My boy aki na 1.3 Kuna muda Hadi wiki inapita anavalishwa diaper usiku hakojoi asubuhi ndo anakojoa , kutembea kaanza na 10months , maneno mengi .. Image recognition Yuko very smart, ukimwambia kitu na kumwonesha next time yeye mwenyewe anakuonesha na kujaribu kutamka .

Kwa ufupi mwanao huenda kafuata kwako au kwa Baba yake , muulize mama yako mzazi kama yupo akuambie ulikuwaje ulivyokuwa mdogo.

Mama aliniambia Mimi nilikuwa Active kuliko mwanangu , ukorofi mwingi alafu akacheka akasema Zamu yako imefika
 
Duuh, sasa c ndio mpaka upate Mwanamke mwenye kujua hivyo na awe na muda sasa.

Shukran sana though
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…