Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
Itakuwa aleji au DAMU ni chafu.Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii msaada tafadhali! Hospital wamempa amoxylin..! Mwanangu ni kibonge mwenyew nakosa raha jaman nisaidien..[emoji17]View attachment 2056848
Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii msaada tafadhali! Hospital wamempa amoxylin..! Mwanangu ni kibonge mwenyew nakosa raha jaman nisaidien..😔View attachment 2056848
Shukran bi dada..Ni muda gani sasa tangu ameanza kutumia amoxicillin? Zipe muda zifanye kazi. Akiwa na joto kali la mwili na homa mpe paracetamol ya watoto au calpol.
Dah!Mpeleke kwa mganga wa kienyeji hayo ni majini
Anamaliza wiki sasa tangu atumie amoxylin! Sjaon changes na analia mara kw maraNi muda gani sasa tangu ameanza kutumia amoxicillin? Zipe muda zifanye kazi. Akiwa na joto kali la mwili na homa mpe paracetamol ya watoto au calpol.
Kama wiki imekwisha na vipele havijakauka rudini hospitali au muende kubwa zaidi yenye maabara apimwe damu.Anamaliza wiki sasa tangu atumie amoxylin! Sjaon changes na analia mara kw mara
Mwanangu pia alikua na shida hiyo, mnunulie Ampiclox ya unga utaweka maji, vitakauka. Au subiri wataalamu waje.Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii msaada tafadhali! Hospital wamempa amoxylin..! Mwanangu ni kibonge mwenyew nakosa raha jaman nisaidien..😔View attachment 2056848
Muone, umeshiba pilau.Mpeleke Kwa mwamposa[emoji2088][emoji2088]
Mpeleke Kwa mwamposa[emoji2088][emoji2088]
Shukrani mkuu!Mwanangu pia alikua na shida hiyo, mnunulie Ampiclox ya unga utaweka maji, vitakauka. Au subiri wataalamu waje.
Mwabangu hajaanza kula..Inaweza ikawa ni allergy, kuna dogo alikuwa anatoka hivyo vipele akila mayai akiacha anarudi kawaida jaribu kuangalia na upande wa vyakula
Nakiete ipo mwenge vile..🤔Tafuta mafuta yanaitwa Bmax ni dawa pia ni mafuta vinakauka kabisa japo bei imechangamka kidogo kama uko dar nenda nakiete