Mtoto wangu anasumbuliwa na majipu kichwani

Mtoto wangu anasumbuliwa na majipu kichwani

Habari wapendwa poleni na maandaliz ya sikukuu! Nina mtoto mwenye umri wa miezi 4 anasumbuliwa na vipele vidogo vinavyotunga usaha kadri sku zinaend vinakuw vikubw kiasi, aliyepitia changamoto hii msaada tafadhali! Hospital wamempa amoxylin..! Mwanangu ni kibonge mwenyew nakosa raha jaman nisaidien..[emoji17]View attachment 2056848

Mkuu dawa ya mapele yeyote huwa ni maji ya moto na paracetamol
Chemsha maji ya moto na sio vuguvugu kisha mkande kila siku jioni kabla ya kulala na unampa Panado ukifanya kwa siku 3 mfululizo utaona matokeo yake yatakauka yote.
 
Mwanangu akiwa mdogo alitokwa pia na mapele mwili mzima. Miezi minne huyo wako bila shaka hajaanza kula inawezekana ni hali ya hewa, mafuta au sabuni.
Wa kwangu nilimuogesha na sabuni ya AZA baada ya kushauriwa na dokta ma vilipungua na kuisha kabisa nq havikurudi. Sijawahi kumpa dawa. Hizo sabuni za AZA nadhani ni locally made ziko madukani jaribu
 
Back
Top Bottom