Mtoto wangu hacheki kwa sauti

huyu anaongea anaita baba,tata
Ndio.....wengi wana ita baba, mama, dada na tata hata akikua, ila maneno mengine hataweza au atakuwa anaongea kama mtoto ukubwani, Kuna kitu huwa wanakatiwa sijui kooni au kwenye ulimi, pia amwangalie akilia kama ulimi anaunyanyua
 
Unanyanyuka mkuu
 
Kiume.una binti?
Sasa toto la kiume unataka lichekecheke? Hebu liache litafakari maisha yajayo.

Nina mabinti wawili wazuri balaa. Unataka mmoja wapo aje ambemende huyo kichanga wako?
 
Hahahaa huu utani asa shida majiran wasikie au shida msikie ndani ya nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…