KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Sa hospitali watafanyaje?Mpeleke hospital asije akawa bubu........... Usipuuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa hospitali watafanyaje?Mpeleke hospital asije akawa bubu........... Usipuuze
Anatoa vichozi na kwikwiAhahaa loh sasa analiaje.wa kwangu anatoa sauti sana sema sio kilizi kiivo
Anaongea sana tu mkuuMpeleke hospital asije akawa bubu........... Usipuuze
Shida ipo kwenye kucheka tu sauti haitoki ni kama anakoroma hivihuyu anaongea anaita baba,tata
Oooh jamani ana umri gani?Anatoa vichozi na kwikwi
Shoga hii siyo chai?napata ukakasi kukuaminiShida ipo kwenye kucheka tu sauti haitoki ni kama anakoroma hivi
Ndio.....wengi wana ita baba, mama, dada na tata hata akikua, ila maneno mengine hataweza au atakuwa anaongea kama mtoto ukubwani, Kuna kitu huwa wanakatiwa sijui kooni au kwenye ulimi, pia amwangalie akilia kama ulimi anaunyanyuahuyu anaongea anaita baba,tata
Unanyanyuka mkuuNdio.....wengi wana ita baba, mama, dada na tata hata akikua, ila maneno mengine hataweza au atakuwa anaongea kama mtoto ukubwani, Kuna kitu huwa wanakatiwa sijui kooni au kwenye ulimi, pia amwangalie akilia kama ulimi anaunyanyua
Basi mwache tu ndivyo alivyo, atachangamka baadaeAnaongea sana tu mkuu
Ahahaa wewe niamini tu hakuna chai hapa.hii ndo jf.Shoga hii siyo chai?napata ukakasi kukuamini
Wakacheki ulimi au homoniSa hospitali watafanyaje?
3yrsOooh jamani ana umri gani?
Ahahaa sasa huyo mbaba unataka apige yowe la nini.? Acha alie kigentleman bna3yrs
Basi yuko vizuriUnanyanyuka mkuu
Kiume.una binti?Basi punguza hofu mwanao atacheka kwa sauti mpk watu wahisi unafuga fisi .
BTW ni mtoto wa kike au wa kiume?
Sasa toto la kiume unataka lichekecheke? Hebu liache litafakari maisha yajayo.Kiume.una binti?
Hahahaa huu utani asa shida majiran wasikie au shida msikie ndani ya nyumbaMtoto wangu ana miezi Tisa now alhamdulilah yupo vema
Ila kuna kitu kinanipa hofu,hajui kuongea ila anapenda kuita baba,tata eeh tena kwa sauti kubwa kabisa.
Shida ipo kwenye kucheka akicheka hatoi sauti kabisa inatoka kidoogo hata umtekenye vipi.
Nifanyeje mwanangu acheke kwa sauti hadi majirani wasikie jamani?
Ndio Mkuu.ila simuachi akalia ni roho yanguAkilia je analia kwa saut au
Njoo unibemende kwanza wewe nione kama una.utamuSasa toto la kiume unataka lichekecheke? Hebu liache litafakari maisha yajayo.
Nina mabinti wawili wazuri balaa. Unataka mmoja wapo aje ambemende huyo kichanga wako?