Mtoto wangu wa kike miaka 5 , anapitia changamoto ya mikono kutoka jasho na kutoka vipele

Asante,nitafanya
 
Angalia pia na sabuni za unga unazotumia kama huwa anazitumia zikiwa kali kqa ngozi yake
 
Vina maji ndani yake, ndiyo
 
Inawezekana stress pia kauoga kwa walimu, nitawauliza walimu wake
 
Hapana,bado sijafanya hizo test naonaga kama uongo tu
Kumbe ulishauriwa cha kufanya halafu unakuja mitandaoni kutafuta tiba? Afya ya mtoto ni muhimu nenda hospital kubwa kamfanyie vipimo. Achanubahili na ujuaji before it is too late...
 
Ndiyo, vina maji ukivitumbua na siku zinavyokwenda ndiyo vinazidi kuongezeka vipele
 
Kumbe ulishauriwa cha kufanya halafu unakuja mitandaoni kutafuta tiba? Afya ya mtoto ni muhimu nenda hospital kubwa kamfanyie vipimo. Achanubahili na ujuaji before it is too late...
Nitampeleka boss,nilikuwa namuangalia kwanza ila wiki hii vimezidi, nitampeleka pale Ekenywa hospital magomeni
 
Nitampeleka boss,nilikuwa namuangalia kwanza ila wiki hii vimezidi, nitampeleka pale Ekenywa hospital magomeni
Mpeleke, usijaribu tiba mbalimbali bila ushauri wa madaktari wabobevu. Miaka mitano ni mdogo sana kujaribiwa jaribiwa unaweza mpa dawa za mitandaoni ukakuta mtoto anaparalyze tu....

Watoto wetu wa siku hizi si komavu kama wa zamani kutokana na lishe.
Mpeleke hospital usimuache ateseke.
 
Asante mzalendo naifanyia kazi muda si mrefu
 
Pole sana mkuu. Mpeleke hospitali ukipata daktari bingwa wa ngozi atakusaidia. Get well soon pretty daughter.
 
Ni katoto labda stress ya kuamka asubui...
 
Inawezekana stress pia kauoga kwa walimu, nitawauliza walimu wake
Hebu fatilieni bana...yani mm nasikia uchungu..ukute kanapigwa so kabla ya kuchapa mikono inapata jasho kwa uwoga so imekua endelevu...
 
Kampime alkerg boss
 
Asanteni sana, nilimpeleka dokta kasema ni pump ya ngozi kampa dawa vidonge vya allergy na ya kupaka ndiyo tumeanza kutumia nitawapa mrejesho
 
Asanteni sana, nilimpeleka dokta kasema ni pump ya ngozi kampa dawa vidonge vya allergy na ya kupaka ndiyo tumeanza kutumia nitawapa mrejesho
Utupe..tunamtakia kila la heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…