- Thread starter
- #21
Hapana,bado sijafanya hizo test naonaga kama uongo tuUlifanya hio allergy test?
Hapana,bado sijafanya hizo test naonaga kama uongo tuUlifanya hio allergy test?
Asante,nitafanyaHakikisha mikono ya mtoto inakuwa na unyevu unyevu especially wakati wa usiku
Tumia gricelin kupaka kwenye mikono ya mtoto kisha mvalishe gloves kwaajili ya kulinda upotevu wa unyevu huo... Fanya hivyo kila siku kwa muda siku 14-21
Pole na uponyaji mwema
Nenda ukafanye acha ujuajiHapana,bado sijafanya hizo test naonaga kama uongo tu
Vina maji ndani yake, ndiyoMikono kutoa jasho jingi na kutoka vipele au malengelenge madogo mara nyingi husababishwa na ugonjwa wa ngozi unaoitwa Dyshidrotic Eczema, msongo wa mawazo, au kutokwa na jasho kupita kiasi (Hyperhidrosis) kunakowasha ngozi. Vipele hivi huweza kuleta muwasho mkubwa na kukauka vibaya.Sababu KubwaDyshidrotic Eczema: Huleta vipele au malengelenge madogo yenye maji viganjani na kuwasha sana.Jasho Jingi (Hyperhidrosis): Hufanya mikono kuwa nyevu kila wakati, jambo linaloweza kuwasha na kuharibu ngozi.Msongo wa Mawazo: Wasiwasi na hofu huchochea mishipa ya fahamu kutoa jasho jingi na kuchochea vipele.Mzio (Allergy): Kugusa kemikali kali, sabuni, au vyuma kama nikel kunaweza kusababisha hali hii.Njia za Kujikinga na Kupunguza TatizoWeka mikono mikavu: Kausha mikono mara kwa mara na kitambaa safi.Epuka kemikali: Tumia glavu wakati wa kufanya usafi au kuosha vyombo.Tumia mafuta maalumu: Paka mafuta ya kulainisha ngozi (moisturizer) ili kuzuia ngozi kupasuka.Punguza mawazo: Pumzika na uepuke hali zinazokupa hofu au msongo.Je, vipele hivyo vina maji ndani yake au vinawasha sana? Naomba niambie ili nikupe ushauri mzuri zaidi.
Inawezekana stress pia kauoga kwa walimu, nitawauliza walimu wakeMikono kutoa jasho jingi na kutoka vipele au malengelenge madogo mara nyingi husababishwa na ugonjwa wa ngozi unaoitwa Dyshidrotic Eczema, msongo wa mawazo, au kutokwa na jasho kupita kiasi (Hyperhidrosis) kunakowasha ngozi. Vipele hivi huweza kuleta muwasho mkubwa na kukauka vibaya.Sababu KubwaDyshidrotic Eczema: Huleta vipele au malengelenge madogo yenye maji viganjani na kuwasha sana.Jasho Jingi (Hyperhidrosis): Hufanya mikono kuwa nyevu kila wakati, jambo linaloweza kuwasha na kuharibu ngozi.Msongo wa Mawazo: Wasiwasi na hofu huchochea mishipa ya fahamu kutoa jasho jingi na kuchochea vipele.Mzio (Allergy): Kugusa kemikali kali, sabuni, au vyuma kama nikel kunaweza kusababisha hali hii.Njia za Kujikinga na Kupunguza TatizoWeka mikono mikavu: Kausha mikono mara kwa mara na kitambaa safi.Epuka kemikali: Tumia glavu wakati wa kufanya usafi au kuosha vyombo.Tumia mafuta maalumu: Paka mafuta ya kulainisha ngozi (moisturizer) ili kuzuia ngozi kupasuka.Punguza mawazo: Pumzika na uepuke hali zinazokupa hofu au msongo.Je, vipele hivyo vina maji ndani yake au vinawasha sana? Naomba niambie ili nikupe ushauri mzuri zaidi.
Asante nitamcheckPole
Nimerudia kusoma kumbe ni mikono tu, na inatoa jasho na kutoka ngozi
Hio ni hyperhidrosis
cc DR Mambo Jambo atakupa muongozo
Kumbe ulishauriwa cha kufanya halafu unakuja mitandaoni kutafuta tiba? Afya ya mtoto ni muhimu nenda hospital kubwa kamfanyie vipimo. Achanubahili na ujuaji before it is too late...Hapana,bado sijafanya hizo test naonaga kama uongo tu
Ndiyo watoto wa kisasa, mpk unaogopa kumpeleka boarding secondary.Sema mnawawahisha sana shule, miaka 5 alipaswa awe anakula na kushiba na kulala!
Ndiyo, vina maji ukivitumbua na siku zinavyokwenda ndiyo vinazidi kuongezeka vipeleMikono kutoa jasho jingi na kutoka vipele au malengelenge madogo mara nyingi husababishwa na ugonjwa wa ngozi unaoitwa Dyshidrotic Eczema, msongo wa mawazo, au kutokwa na jasho kupita kiasi (Hyperhidrosis) kunakowasha ngozi. Vipele hivi huweza kuleta muwasho mkubwa na kukauka vibaya.Sababu KubwaDyshidrotic Eczema: Huleta vipele au malengelenge madogo yenye maji viganjani na kuwasha sana.Jasho Jingi (Hyperhidrosis): Hufanya mikono kuwa nyevu kila wakati, jambo linaloweza kuwasha na kuharibu ngozi.Msongo wa Mawazo: Wasiwasi na hofu huchochea mishipa ya fahamu kutoa jasho jingi na kuchochea vipele.Mzio (Allergy): Kugusa kemikali kali, sabuni, au vyuma kama nikel kunaweza kusababisha hali hii.Njia za Kujikinga na Kupunguza TatizoWeka mikono mikavu: Kausha mikono mara kwa mara na kitambaa safi.Epuka kemikali: Tumia glavu wakati wa kufanya usafi au kuosha vyombo.Tumia mafuta maalumu: Paka mafuta ya kulainisha ngozi (moisturizer) ili kuzuia ngozi kupasuka.Punguza mawazo: Pumzika na uepuke hali zinazokupa hofu au msongo.Je, vipele hivyo vina maji ndani yake au vinawasha sana? Naomba niambie ili nikupe ushauri mzuri zaidi.
Nitampeleka boss,nilikuwa namuangalia kwanza ila wiki hii vimezidi, nitampeleka pale Ekenywa hospital magomeniKumbe ulishauriwa cha kufanya halafu unakuja mitandaoni kutafuta tiba? Afya ya mtoto ni muhimu nenda hospital kubwa kamfanyie vipimo. Achanubahili na ujuaji before it is too late...
Mpeleke, usijaribu tiba mbalimbali bila ushauri wa madaktari wabobevu. Miaka mitano ni mdogo sana kujaribiwa jaribiwa unaweza mpa dawa za mitandaoni ukakuta mtoto anaparalyze tu....Nitampeleka boss,nilikuwa namuangalia kwanza ila wiki hii vimezidi, nitampeleka pale Ekenywa hospital magomeni
Asante mzalendo naifanyia kazi muda si mrefuMpeleke, usijaribu tiba mbalimbali bila ushauri wa madaktari wabobevu. Miaka mitano ni mdogo sana kujaribiwa jaribiwa unaweza mpa dawa za mitandaoni ukakuta mtoto anaparalyze tu....
Watoto wetu wa siku hizi si komavu kama wa zamani kutokana na lishe.
Mpeleke hospital usimuache ateseke.
Pole sana mkuu. Mpeleke hospitali ukipata daktari bingwa wa ngozi atakusaidia. Get well soon pretty daughter.Habari zenu,
Mtoto wangu wa kike miaka 5 darasa la kwanza, anapitia changamoto ya mikono kutoka jasho na kutoka vipele kama picha ninavyonekana, hali hii inasababisha kushindwa kuandika vizuri maana analalamika mikono kuwasha na kulowana kwa jasho, kwa nayejua jua dawa au maarifa naomba msaada wako.
Asante
View attachment 3652796View attachment 3652797
Ni katoto labda stress ya kuamka asubui...Mikono kutoa jasho jingi na kutoka vipele au malengelenge madogo mara nyingi husababishwa na ugonjwa wa ngozi unaoitwa Dyshidrotic Eczema, msongo wa mawazo, au kutokwa na jasho kupita kiasi (Hyperhidrosis) kunakowasha ngozi. Vipele hivi huweza kuleta muwasho mkubwa na kukauka vibaya.Sababu KubwaDyshidrotic Eczema: Huleta vipele au malengelenge madogo yenye maji viganjani na kuwasha sana.Jasho Jingi (Hyperhidrosis): Hufanya mikono kuwa nyevu kila wakati, jambo linaloweza kuwasha na kuharibu ngozi.Msongo wa Mawazo: Wasiwasi na hofu huchochea mishipa ya fahamu kutoa jasho jingi na kuchochea vipele.Mzio (Allergy): Kugusa kemikali kali, sabuni, au vyuma kama nikel kunaweza kusababisha hali hii.Njia za Kujikinga na Kupunguza TatizoWeka mikono mikavu: Kausha mikono mara kwa mara na kitambaa safi.Epuka kemikali: Tumia glavu wakati wa kufanya usafi au kuosha vyombo.Tumia mafuta maalumu: Paka mafuta ya kulainisha ngozi (moisturizer) ili kuzuia ngozi kupasuka.Punguza mawazo: Pumzika na uepuke hali zinazokupa hofu au msongo.Je, vipele hivyo vina maji ndani yake au vinawasha sana? Naomba niambie ili nikupe ushauri mzuri zaidi.
Hebu fatilieni bana...yani mm nasikia uchungu..ukute kanapigwa so kabla ya kuchapa mikono inapata jasho kwa uwoga so imekua endelevu...Inawezekana stress pia kauoga kwa walimu, nitawauliza walimu wake
Kampime alkerg bossHabari zenu,
Mtoto wangu wa kike miaka 5 darasa la kwanza, anapitia changamoto ya mikono kutoka jasho na kutoka vipele kama picha ninavyonekana, hali hii inasababisha kushindwa kuandika vizuri maana analalamika mikono kuwasha na kulowana kwa jasho, kwa nayejua jua dawa au maarifa naomba msaada wako.
Asante
View attachment 3652796View attachment 3652797
Utupe..tunamtakia kila la heriAsanteni sana, nilimpeleka dokta kasema ni pump ya ngozi kampa dawa vidonge vya allergy na ya kupaka ndiyo tumeanza kutumia nitawapa mrejesho