Mtotomtamuu nawasalimu wana JF

[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaomba kusudi
Kuna mmoja nilimuona mtu wa maana kweli. Sasa akaanza kila nikionana nae anaanza story za game wakati mwenzie wala sipo. Siku katuma message leo tunaonana maana I'm horny nikamjibu kwa chini na mimi nina shida na million 1. Haki ya Mungu hajajibu message mpaka leo. Nawaza tukionana itakuaje
 
Dadadeki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekoma nyani giladi!

Yuko horny kibure bure..unamtajia dau kubwaaa!!akimbie kabisaa!!
Nimeipenda hyoo!

Mkionana kawaida tu ye si aliomba na we ukaomba!
 
Ni style ya kuuliza huwa tunaitumia na marafiki zangu mtu akituma picha sio yake. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hakika kizazi cha kiume kinazidi kuisha hlf ww ndio unajifanya hutaki kuja upande wetu, shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…