Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja nilimuona mtu wa maana kweli. Sasa akaanza kila nikionana nae anaanza story za game wakati mwenzie wala sipo. Siku katuma message leo tunaonana maana I'm horny nikamjibu kwa chini na mimi nina shida na million 1. Haki ya Mungu hajajibu message mpaka leo. Nawaza tukionana itakuaje[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaomba kusudi
Bibie mbona kama umeuliza kwa huzuni??Kwahiyo huyo wewe???
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mjini mipango haki tena!!!Ndo maana yake.
Yameshakukuta?Swaga za wanaume hizi.
Ukianza communication naye utasikia my simu ni mbovu, mara nitumie nauli.
Umegusa kiwanja changu hapo... Hi5,
Aiseee ma duu wa kule kwa mizinga hawajambo.
HahaaaUmegusa kiwanja changu hapo... Hi5,
Aiseee ma duu wa kule kwa mizinga hawajambo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Umegusa kiwanja changu hapo... Hi5,
Aiseee ma duu wa kule kwa mizinga hawajambo.
Ni style ya kuuliza huwa tunaitumia na marafiki zangu mtu akituma picha sio yake. [emoji23][emoji23][emoji23]Bibie mbona kama umeuliza kwa huzuni??
hahahaha
Mkuu unauliza jibu [emoji23][emoji23]Yameshakukuta?
Ipooo na pacha wake Tagged.... nikiwa bored hua nazungukia kule.Hivi Hi5 bado ipo?
Lol.Hahaaa
Sikutaka kujifikirisha, nataka aseme mwenyewe....Mkuu unauliza jibu [emoji23][emoji23]
Dadadeki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekoma nyani giladi!Kuna mmoja nilimuona mtu wa maana kweli. Sasa akaanza kila nikionana nae anaanza story za game wakati mwenzie wala sipo. Siku katuma message leo tunaonana maana I'm horny nikamjibu kwa chini na mimi nina shida na million 1. Haki ya Mungu hajajibu message mpaka leo. Nawaza tukionana itakuaje
Hahaha hakika kizazi cha kiume kinazidi kuisha hlf ww ndio unajifanya hutaki kuja upande wetu, shauri yako.Ni style ya kuuliza huwa tunaitumia na marafiki zangu mtu akituma picha sio yake. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi PA wake nimekujibu mkuuSikutaka kujifikirisha, nataka aseme mwenyewe....
Na wewe si duu umejuaje Kama wanapiga vizinga???Umegusa kiwanja changu hapo... Hi5,
Aiseee ma duu wa kule kwa mizinga hawajambo.
Umemuona mtoto mtamu mtamu??Aiseee