Mtotomtamuu nawasalimu wana JF

Mtotomtamuu nawasalimu wana JF

Hyo picha umedownload kwenye google sio ya kwako,picha ya camera ya simu file name huanza na IMG kisha mwaka,mwezi na siku iliyopigwa kisha namba ya picha na mwisho humaliziwa na neno jpg,mfano: IMG_20180531_4546.jpg, sasa hyo uliyoweka hapo imeanza na d54edb0.... hata mimi nkiamua kuisachi online naikuta.

Eniwei utawapata wajingawajinga wenye uchu.
 
Back
Top Bottom