Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima upige, nyto kwa mwendo huoMimi nikiplan kuonana na mtu akaomba nauli ya kufika eneo la tukio nampiga block straight forward.
Au swaga za nitumie hela ya kusuka nije nimependeza!
Uwiii hahaa msio na shape nawaona nawaonaa[emoji23][emoji23]Umenikoooooshaaa haya ndio majibu yetu ambao hatukukimbia umande[emoji122][emoji122][emoji122]
Mungu hakupi vyote,akikunyima shape atakupa akili ya kupembua.Uwiii hahaa msio na shape nawaona nawaonaa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu hakupi vyote,akikunyima shape atakupa akili ya kupembua.
ha ha ha kule kuko kibiashara zaidiUmegusa kiwanja changu hapo... Hi5,
Aiseee ma duu wa kule kwa mizinga hawajambo.
mkuu umenifanya nacheka kama kichaa uwiiBaadae utasikia kuna pasi, kitanda bila godoro na taa ya chemli vyote kwa laki tatu tuu niko vingunguti njoo pm haraka nina shida
Wamejaa kibao shogaangu,hadi smartphone wanajua kuzitumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kuna chizi hapa asie na akili shogaangu?
Hahaaaa. Wacha kabisa Mkuu.Baadae utasikia kuna pasi, kitanda bila godoro na taa ya chemli vyote kwa laki tatu tuu niko vingunguti njoo pm haraka nina shida
[emoji23][emoji23][emoji23]Wamejaa kibao shogaangu,hadi smartphone wanajua kuzitumia[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe jf imekuwa maarufu kwa "kuuza na kununua"?
plzzz usimjazie mwanafunzi wangu pmSema we huombwi bwana unatoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima upige, nyto kwa mwendo huo
AiseeeWamejaa kibao shogaangu,hadi smartphone wanajua kuzitumia[emoji23][emoji23]
Hi mapi[emoji4]Aiseee