Mtotomtamuu nawasalimu wana JF

Mtotomtamuu nawasalimu wana JF

Sidhani kama haya yana tofauti na Yale ya Husna the Boss Lady.
Hahaaa!; sister umeona mambo ya watu! Usikute huyu ni mwanaume na upara wake anarusha roho watu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaa!; sister umeona mambo ya watu! Usikute huyu ni mwanaume na upara wake anarusha roho watu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Kweli kabisa kaka. Itakuwa anataka achore yale Mafisi ya jf.

Ila kutokana na ile issue ya Husna the boss lady walio wengi walijifunza hivyo hapa aandike pata potea sababu ni wachache watakaomzukia huko kwa Waziri Mkuu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anastahili!
Nimecheka tu!kumbe una maneno eehh!!!

Nimetafuta jibu nikakosa, ikabidi nimpe hilo.
 
Back
Top Bottom