Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Nilipouona huu uzi nikajipa muda wa kujiridhisha nikakuta hiyo kauli yako ni sahihiSidhani kama haya yana tofauti na Yale ya Husna the Boss Lady.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipouona huu uzi nikajipa muda wa kujiridhisha nikakuta hiyo kauli yako ni sahihiSidhani kama haya yana tofauti na Yale ya Husna the Boss Lady.
[emoji90]Aisee utawaibia wengi sana
Nipo huku bado. Toka saa moja nahangaika tu.Hujaenda tena??
Dume hilo,ana ule utapeli wa Badoo wa nitumie nauli nijeNimenunua nyanya gengeni nimeshtuka baada ya kuhisi mojawapo sio ya kawaida
H
Nimenunua nyanya gengeni nimeshtuka baada ya kuhisi mojawapo sio ya kawaidaView attachment 790553Mtoto mtamu hiyo kucha yako inatisha.
Kwahiyo huyo wewe???
Polee sanaaNipo huku bado. Toka saa moja nahangaika tu.
Hahaaa. Huu ndio unakuwaga mwanzo mdogo wangu.Nilipouona huu uzi nikajipa muda wa kujiridhisha nikakuta hiyo kauli yako ni sahihi
HahahahahaaHahaaa. Huu ndio unakuwaga mwanzo mdogo wangu.
Unadhani wanajali basi. Wakishaumbuka wanaacha id ya zamani wanakuja na id mpya.Hahahahahaa
Shauri yake asije kuaibika bure
uko kwa Kenyata nini..majengo jayo