SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Atakuwa anakutifua mtaro si bure.Sabaya ni kiboko ya Mbowe plus BAVICHA! Na huyo ni mtoto wenu, sipati picha angekuwa msukuma tungesikia kila aina ya matusi. Kampeni yenu haitafanikiwa mama Samia naye anaakili, sana mnachofanya ni kumpiga teke chura!
Mumewe huyo jamani ngoja amtetee asijekosa kuletewa vijolaTuhuma zimeelekezwa kwa Sabaya zinakuwasha nini? Mwache aje jamvini ajitetee mwenyewe au aendee mahakamani kushtaki kwa kuchafuliwa jina.
Mzee walikua wanavamia hatari siku moja walivamia duka la Mama mmoja tena katoka msibani wanataka kuondoka nae sijui risiti sijui report mimi nikaingilia kati kidogo na kuwaomba wamuache yule Mama nikawauliza swali la kizushi asipotoa report kuna madhara gani yaani walikariri maswali na majibu hapo kuna wateja washaondoka weengi tuu daah baadae wakaamua kuondoka wakidai watarudi nikapata taarifa walikua wanamchukua mwenye duka wanazunguka nae hata siku nzima ili atoe hela akitishiwa asipewe kesi ya uhujumu uchumi majambazi kweli wale jamaa nimeshuhudia kwa macho yangu na niliwaambia mimi siogopi kitu chochote lakini hamuwezi kumuonea huyu mama tukiona...Haya ni swala la muda tu, jiwe kwa jiwe, moto kwa moto
Tangu lini sabaya alikuwa msafi?Anaandika Mtozi Alloyce Nyanda
Nimeona Video ya Mfanyabiasha Cathbert imepostiwa na @kumbushodawson
Kumbuso ni rafiki yangu sana na kwa kuwa sisi sote huwa ni waumini wa ujenzi wa hoja basi kabla ya kuingia katika mjadala wa msingi napenda maswali haya yajibiwe kisha tuje sasa kwenye Hoja hiyo hapo juu.
1. Huyu Bwana Cathbert mwaka 2019 aliwahi kusema kuwa Mkuu wa wilaya Sabaya aliwahi kuvamia hotelini kwake na makundi ya watu na kupora hela na kulazimisha kuchukua mwanamke kwa nguvu na kwamba Bwana Cathebert alisema atatoa Video ya CCTV ikionyesha huo unyama wa Sabaya lakini tangu mwaka 2019 hadi leo ni miaka 2 hakuna hiyo Video; je Video ipo wapi?
2. Anadai Sabaya alimzuia mwekezaji wa maonyesho ya nyoka kufanya hivyo Hai! unajua nyoka ni maliasili na nyara muhimu za serikali? umewahi kumuuliza kama alikidhi vigezo na taratibu za kisheria kumruhusu kufanya hivyo?
3. Huyu bwana katika Video hapo
Juu anasema amekimbia na kujificha kutokana na vitisho vya Sabaya na anamuomba mama Samia amsaidie! Swali mtu anasema amejificha wakati anasema yupo pahala flani kwenye shamba tena mchana kweupe na yupo Tanzania je Kumbuso kujificha ndo huku ambapo Mimi na wewe hatupo Kilimanajaro ila tumeshajua huyu bwana yupo wapi!
4. Asante Tours Ooshi si Arusha na kwamba kuna video ikionyesha kwamba mwezi wa pili mwaka huu kampuni na ofisi iliuzwa kwa mnada na bank ya CRDB mil 600 kutokana na madeni ya bwana huyu anayodaiwa toka mwaka 2009 huko nako Sabaya alikuwa Hai?
6. Zimekuwepo tuhuma za huyu bwana kupora maeneo na kuyabadilisha hati kisha anaenda kukopa bank na kuyatumia kwa
Manufaa yake na DC alishwahi kuyarudisha mashamba kwa wenyewe, je Kumbuso unafahamu Hilo? Je, alishawahi hata kujirekodi kusema kuwa ni uwongo?
Baada ya uteuzi wa mawaziri,makatibu wakuu mhe Rais alisema sasa anakuja kwa ma Rc na kina sabaya,Haya nayo yakazuka,common sense inasemaje?
Naomba Tuanze na haya kisha twende kwenye hoja ya Msingi ya bwana Mfanyabiashara ambae yupo shambani alipojirekodi kutupa habari amejificha.
Mimi Jitombashisho na Kaskazini wapi na wapi!Sabaya una id’s nyingi na nimegunduwa huna akili.
Wasukuma hata usipotupenda unapoteza muda bure tu ndugu Sisi tupo leo,kesho na hata keshokutwa.Sukuma Gang, mnahangaika kama kuku anayetaka kutaga,haya umehamia kwa kibaka wa kimasai
Mdee na Bulaya si watu wabaya. Hawajawahi kuamuru mauaji wala utakaji. Tatizo wewe unatetea wauaji, wataka nyara na fisadi wa TZS 1.5. Kilangila.Mbona wewe ni mtetezi wa Halima Mdee na Esther Bulaya!
Tatizo nini?!
Hakuna namna alikuwa anapona....Itabidi tumshitaki kwa Mungu!
Huyu Nyanda naye asaidie upelelezi,amekuwa mnufaika wa ujambazi wa Sabaya, gharama za arusi yake kwa asilimia tisini ziligharamiwa na huyu jambaziAnaandika Mtozi Alloyce Nyanda
Nimeona Video ya Mfanyabiasha Cathbert imepostiwa na @kumbushodawson
Kumbuso ni rafiki yangu sana na kwa kuwa sisi sote huwa ni waumini wa ujenzi wa hoja basi kabla ya kuingia katika mjadala wa msingi napenda maswali haya yajibiwe kisha tuje sasa kwenye Hoja hiyo hapo juu.
1. Huyu Bwana Cathbert mwaka 2019 aliwahi kusema kuwa Mkuu wa wilaya Sabaya aliwahi kuvamia hotelini kwake na makundi ya watu na kupora hela na kulazimisha kuchukua mwanamke kwa nguvu na kwamba Bwana Cathebert alisema atatoa Video ya CCTV ikionyesha huo unyama wa Sabaya lakini tangu mwaka 2019 hadi leo ni miaka 2 hakuna hiyo Video; je Video ipo wapi?
2. Anadai Sabaya alimzuia mwekezaji wa maonyesho ya nyoka kufanya hivyo Hai! unajua nyoka ni maliasili na nyara muhimu za serikali? umewahi kumuuliza kama alikidhi vigezo na taratibu za kisheria kumruhusu kufanya hivyo?
3. Huyu bwana katika Video hapo
Juu anasema amekimbia na kujificha kutokana na vitisho vya Sabaya na anamuomba mama Samia amsaidie! Swali mtu anasema amejificha wakati anasema yupo pahala flani kwenye shamba tena mchana kweupe na yupo Tanzania je Kumbuso kujificha ndo huku ambapo Mimi na wewe hatupo Kilimanajaro ila tumeshajua huyu bwana yupo wapi!
4. Asante Tours Ooshi si Arusha na kwamba kuna video ikionyesha kwamba mwezi wa pili mwaka huu kampuni na ofisi iliuzwa kwa mnada na bank ya CRDB mil 600 kutokana na madeni ya bwana huyu anayodaiwa toka mwaka 2009 huko nako Sabaya alikuwa Hai?
6. Zimekuwepo tuhuma za huyu bwana kupora maeneo na kuyabadilisha hati kisha anaenda kukopa bank na kuyatumia kwa
Manufaa yake na DC alishwahi kuyarudisha mashamba kwa wenyewe, je Kumbuso unafahamu Hilo? Je, alishawahi hata kujirekodi kusema kuwa ni uwongo?
Baada ya uteuzi wa mawaziri,makatibu wakuu mhe Rais alisema sasa anakuja kwa ma Rc na kina sabaya,Haya nayo yakazuka,common sense inasemaje?
Naomba Tuanze na haya kisha twende kwenye hoja ya Msingi ya bwana Mfanyabiashara ambae yupo shambani alipojirekodi kutupa habari amejificha.
Nyanda na Clouds ni chawa wa watesi, hawa watu mpaka muda huu nashanga wapo tu uraiani.Huyu Nyanda naye asaidie upelelezi,amekuwa mnufaika wa ujambazi wa Sabaya, gharama za arusi yake kwa asilimia tisini ziligharamiwa na huyu jambazi