Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Mchana..?!DUNIA IMEBADILIKA MKUU LAZIMA TUKAE KWA TAHADHARI
Tz Kuna Amani. Japo Kuna kipindi utekaji ulishamiri but we are back to normal.Utakuja kudhuriwa na kujifanya kwako kuwa una upendo na sio mbinafsi. Yani mtu agonge geti au mlango nisiulize nani eti kisa ubinafsi sijui nakosa upendo, hali ya sasa sio salama ni vyema kujiridhisha kabla.
Mfano mtu simu yake imeharibika au imeisha chaji, akaja bila kukutaarifu..?!aisee lazima nikuulize wewe ni nani maana kwangu haji mtu bila taarifa.
Hata Hiyo badoMimi huwa nauliza "nani tafadhali" hii nayo haijakaa kiupendo..!?
Amani ya wapi, kila leo vibaka wanaruka ukuta wanakwapua hadi malapa watu hawako kama unavyowafikiria ni muhimu kujua ni nani anabisha hodi iwe mchana hata usiku. Tena kama usiku ndo sifungui hadi niwe na hakika ni nani anaebisha hodi.Tz Kuna Amani. Japo Kuna kipindi utekaji ulishamiri but we are back to normal.
ndiyo ajielezee hapo nje yeye ni nani.Mfano mtu simu yake imeharibika au imeisha chaji, akaja bila kukutaarifu..?!
Utajuaje kama amani inatoweka na inaanza na wewe. Umakini ni muhimu sanaTz Kuna Amani. Japo Kuna kipindi utekaji ulishamiri but we are back to normal.
Mlango wa nyunbaniTusio na geti tunakomenti pia?
Kwahiyo wakati wa utekaji ilikuwa sawa kuulizwa wewe Nani mchana?Tz Kuna Amani. Japo Kuna kipindi utekaji ulishamiri but we are back to normal.