PreGE2025 Mtu akıkwambia No reforms no election Mjibu Reform zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako

Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd

Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
 
wewe una bweka humu, ilihali Wazazi wako wanakufa kwa umasikini kile kijijini kwa sababu ya sera za CCM, endelea na ujinga wako huo
 
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako

Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd

Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika

No reform no elections boss uvccm
 
Kama una AKILI TIMAMU.Tuelezee reforms zilizofanyika na matokeo yake yalikuaje? Tanzania na uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Usibweke kwa kuvimbiwa na R USHWA ukajitia upofu
 
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako

Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd

Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Umeshiba pilau la Idd na elfu saba za CCM tunakuelewa.. Ndugu zako wana ajira, wana elimu, wanapata matibabu, wana kipato chochote? barabara zenu kutoka kijijini kwako zinapitika?
 
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako

Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd

Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Mpe hii video ya makamo mwenyekiti wa chama halafu ataamua mwenyewe😂😂😂
 
Attachments

  • godbless_lema_270p_20250401_123309.mp4
    805.6 KB
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako

Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd

Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi
 
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako

Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd

Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafa

Mirembe mnakimbia,mkiwa hamjapona vizuri!
Sawa umeeleweka.
 
Hatukatia kwamba reforms hazijafanyika, Ni kweli zipo tayari reforms ambazo zitaendelea kuminya demokrasia ya nchi, ni kweli reforms zimefanyika za kufanya uchaguzi usio wa haki na kupora haki za WANANCHI kuchagua viongozi wao wanaowapenda, ni kweli zimefanyika reforms ambazo zimetengeneza mfumo wa kihuni na usio FAA wa uchaguzi.
 
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako

Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd

Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Washenzi sana nyie 2024 tu mmeiba uchaguzi na ushahidi upo.
 
Back
Top Bottom