PreGE2025 Mtu akıkwambia No reforms no election Mjibu Reform zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako

Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd

Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Ndo mnavyodanganyana huko kwenye vikao na Mzee wenu wa Gombe sio?
 
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako

Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd

Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika

Reform gani we Chawa...!?
 
No reforms No Elections...
Endeleeni kuteuana!
 
SIKU UPINZANI UKISHIKA MADARAKA KWENYE HII NCHI MBOGAMBOGA MJIANDAE KUTAFUTA NCHI YA KWENDA KUISHI, WANANCHI TUNA HASIRA NA NINYI KULIKO MNAVYODHANI...

MNAJISAHAU SANA WATANZANIA WA SASA WAMEELIMIKA SIO WALE WA ANALOGIA KITAWALAMBA
 
No reforms No Elections...
Endeleeni kuteuana!
Naomba mtu anieleze au aeleze humu ukumbini Reform gani zinatakiwa.
Tundu lissu na wenzake waainishe hizo rform ndani ya magazeti.
Na kama hakuna basi ni watu wanao taka kuleta fujo tuu.

Sababu wakiainisha serikali itasema hizo zimefanyiwa kazi na hizi tunaendela kuziboresha.

Lakini kimya husemi kitu wewe no roform no election mkiitwa njooni tuzungumze hamataki unataka nini . Hii ni dalili tosha ya kuwa unataka fujo.
 
1. Hivi unajua wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi wqnapatikanaje?
2. Hivi wakutugenzi ambao ni wateule wa mgombea wa ccm bado wataendelea kuwa returning officers?
3.Kama matokeo ya Udiwani na Ubunge yanapingwa mahakamani, kwanini ya urais yasipingwe huko yanakopingwa mengine?
4. Hivi zoezi lipi ni Siri? La kupiga kura ama la kutangaza matokeo ya uchaguzi?

Majibu utakayotoa hapo yanaweza kutoa mwanga kama kuna haja ya reforms ama laah!
 
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako

Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd

Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Wewe ndie deo balile maaana naona unaweweseka kama mayalla
 
Back
Top Bottom