Ndo mnavyodanganyana huko kwenye vikao na Mzee wenu wa Gombe sio?Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd
Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd
Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
No reforms No Elections...Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd
Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Mjibu tu. Usitukane!Moderator utanipiga Bann nikimjibu huyu anavyostahili?
SIKU UPINZANI UKISHIKA MADARAKA KWENYE HII NCHI MBOGAMBOGA MJIANDAE KUTAFUTA NCHI YA KWENDA KUISHI, WANANCHI TUNA HASIRA NA NINYI KULIKO MNAVYODHANI...Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd
Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika
Naomba mtu anieleze au aeleze humu ukumbini Reform gani zinatakiwa.No reforms No Elections...
Endeleeni kuteuana!
1. Hivi unajua wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi wqnapatikanaje?Naomba mtu anieleze au aeleze humu ukumbini Reform gani zinatakiwa.
Tundu lissu na wenzake waainishe hizo rform ndani ya magazeti.
Na kama hakuna basi ni watu wanao taka kuleta fujo tuu.
Sababu wakiainisha serikali itasema hizo zimefanyiwa kazi na hizi tunaendela kuziboresha.
Lakini kimya husemi kitu wewe no roform no election mkiitwa njooni tuzungumze hamataki unataka nini . Hii ni dalili tosha ya kuwa unataka fujo.
Wewe ndie deo balile maaana naona unaweweseka kama mayallaMtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza ulikuwa ulaya shauri yako
Reforms zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika kama alivyosema namba moja kwenye baraza la Idd
Ukiniuliza no reforms nakujibu reforms tayari, ukisema no elections nakujib uchaguzi utafanyika