Mtu akifa anaenda wapi?

Nimedandia tu

1. Je, kuna mwisho wa dunia?

2. Waliotupwa kwenye ziwa la moto watafufuliwa siku ya mwisho

3. Katika dalili zilizotajwa kwenye vitabu vya dini.. mwisho umekaribia au bado?
1. Mwisho wa dunia upo.
2. Waliotupwa kwenye ziwa la moto itakuwa milele.
3. Mwisho umekaribia ila siku na saa ajuaye ni Mungu tu.
 
Kama ni wa kiume anaenda Chato
Kama ni wa kike anaenda Kizimkazi
 
unaishi kaburin hadi kiama.
siku ya mwisho Yesu anakuja unafufuka unapaa kuelekea mbinguni ukifika hukumu inatoka kama ulikua mtenda dhambi unakula nyundo unatupwa kwenye tanuru la moto forever
 
unaishi kaburin hadi kiama.
siku ya mwisho Yesu anakuja unafufuka unapaa kuelekea mbinguni ukifika hukumu inatoka kama ulikua mtenda dhambi unakula nyundo unatupwa kwenye tanuru la moto forever
Yes Jibu ni kaburini
 
unaishi kaburin hadi kiama.
siku ya mwisho Yesu anakuja unafufuka unapaa kuelekea mbinguni ukifika hukumu inatoka kama ulikua mtenda dhambi unakula nyundo unatupwa kwenye tanuru la moto forever
Hukumu ndio mdudu gani?? Ukifa unaoza tu.
 
unaishi kaburin hadi kiama.
siku ya mwisho Yesu anakuja unafufuka unapaa kuelekea mbinguni ukifika hukumu inatoka kama ulikua mtenda dhambi unakula nyundo unatupwa kwenye tanuru la moto forever

miili ya waliochomwa, waliomezwa na mamba/chatu wao wako kwenye makaburi gani
 
Nenda kaburini ukachimbe baada ya miaka kadhaa utakuta mwili umeanza kuoza after all percent kubwa ni Oxygen, hydrogen(maji), nitrogen, carbon, calcium, na phosphorus.

Kwahio kwa macho yako baada ya miaka mingi utakuta imebakia mifupa na hata hio ambayo composition yake nyingi ni calcium na yenyewe baada ya muda utakuta imekwisha..., as for inakwenda wapi ecosystem takes care of that kila mmea / kiumbe kuwa chakula cha kingine is what fuels this ecosystem of ours...

In Essence as far as nature is concerned you are just food for other species...
 
Ukifa na lako limeisha itabaki historia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…