Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nani anayewageuza Kuwa paka, Mbwa, panya etc
Hakuna anayegeuza (huyo unayempa personality na kumuita Nani) nafsi fulani kuwa aina fulani ya uhai au fulani. Bali ufahamu/consciousness yenyewe ndio inakuwa imejitengenezea hali ambayo next stage inachukua form gani na kutegemeana na level ya consciousness yake. Ni kama consciousness inatafuta form yoyote ya life depend on how the consciousness weight.
Mwana Apollo Mbona unafanya makusudi ili nisielewe?
mkuu kuna andiko lolote limesema hivo???
Hivi roho ipo sehemu gani ya mwili?tuanzie hapo kwanza
Mkuu kuzaliwa kama Mbwa, Paka au Panya ni adhabu au? Coz naona kuna mbwa wanaishi maisha mazuri wakiyofautiana na wengine, sasa hawa wanaoishi maisha mazuri wao pia ni adhabu kama walivyo waishio ya shida au vipi
Ni nani anayewageuza Kuwa paka, Mbwa, panya etc
Mbwa ni mbwa tu hawezi kufikiri what goes around comes around, malipo ni hapa hapa duniani ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga huwezi kupanda mahindi alafu uvune Mihogo.
Inageuka kuwa uyoga.
Inageuka kuwa uyoga.
Mbwa ni mbwa tu hawezi kufikiri what goes around comes around, malipo ni hapa hapa duniani ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga huwezi kupanda mahindi alafu uvune Mihogo.
Lakini itategemea aliishi vip
Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk