Mtu akifa Roho yake huenda wapi?

Mtu akifa Roho yake huenda wapi?

Ni nani anayewageuza Kuwa paka, Mbwa, panya etc

Hakuna anayegeuza (huyo unayempa personality na kumuita Nani) nafsi fulani kuwa aina fulani ya uhai au fulani. Bali ufahamu/consciousness yenyewe ndio inakuwa imejitengenezea hali ambayo next stage inachukua form gani na kutegemeana na level ya consciousness yake. Ni kama consciousness inatafuta form yoyote ya life depend on how the consciousness weight.
 
hakuna kitu kama icho iyo unayosema roho ni nadharia tu ili wajanja wachache wapate kutawala dunia(new world order/old world order)
 
Hakuna anayegeuza (huyo unayempa personality na kumuita Nani) nafsi fulani kuwa aina fulani ya uhai au fulani. Bali ufahamu/consciousness yenyewe ndio inakuwa imejitengenezea hali ambayo next stage inachukua form gani na kutegemeana na level ya consciousness yake. Ni kama consciousness inatafuta form yoyote ya life depend on how the consciousness weight.

Mwana Apollo Mbona unafanya makusudi ili nisielewe?
 
Last edited by a moderator:
Mwana Apollo Mbona unafanya makusudi ili nisielewe?

Hahaha, hapana ndugu yangu Bujibuji. Tatizo una imagination tayari ya unachodhania ndivyo mfano kuuliza ni NANI ni sawa na kutoa personality kwa Mungu kwani unachukulia Mungu ni Personality kumbe ni zaidi ya hapo. Hivyo ulipouliza ni nani nikaona tayari hautaelewa kwani umeshaimagine jibu au reality yako kutokana na uelewa wako.

Lakini cha msingi kwa kifupi ni kuwa hakuna anayepanga bali ufahamu wenyewe unavyotumia maisha yake unajiwekea hali au energy fulani ambayo itafit na life form inayostahili kuendana na energy consciousness (ufahamu) ilivyo.
 
Mkuu kuzaliwa kama Mbwa, Paka au Panya ni adhabu au? Coz naona kuna mbwa wanaishi maisha mazuri wakiyofautiana na wengine, sasa hawa wanaoishi maisha mazuri wao pia ni adhabu kama walivyo waishio ya shida au vipi

Mbwa ni mbwa tu hawezi kufikiri what goes around comes around, malipo ni hapa hapa duniani ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga huwezi kupanda mahindi alafu uvune Mihogo.
 
Mbwa ni mbwa tu hawezi kufikiri what goes around comes around, malipo ni hapa hapa duniani ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga huwezi kupanda mahindi alafu uvune Mihogo.

Asante sana kwa ufafanuzi zaidi.

Nashangaa ni kwanini wanadamu hatujifunzi. UKIPANDA MTAMA UTAVUNA MTAMA NA UKIPANDA MAWE UTAVUNA MAWE. Kila ufanyacho kina matokeo yake katika safari yako. Ni simple lakini sijaona anayehukumu bali tunajihukumu wenyewe kwa tukitoacho. Ukweli huo hatuhitaji kitabu cha dini au mchungaji kujifunza, maisha ukiyatazama tu kwa ujumla yanatupa majibu kamili.

Nashukuru sana.
 
Ukisoma biblia inasema uhai unakoma MTU anapokufa. Soma Mhubiri 9:5,10. MTU akifa anabaki kaburini anasubiri ufufuo, soma Yohana 5:28,29. Hivyo mtu akifa hakuna anakoenda ila ana baki kaburini anasubiri ufufuo
 
Kifupi, mtu akifa mambo mawili yanamkabili moja, kama mahusiano yake na Mungu yako safi roho yake unaenda peponi kusubiri hukumu ya haki, Mbili kama mahusiano yake na Mungu cyo mazri roho yake inaenda jehanamu kusubiri hukumu ya milele ya jehanamu. Hakuna mjadara kama huamn jaribu kufa uone unaenda wp.
 
Mbwa ni mbwa tu hawezi kufikiri what goes around comes around, malipo ni hapa hapa duniani ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga huwezi kupanda mahindi alafu uvune Mihogo.

Na huyo mbwa akifa anaenda wapi?adhabu imeisha ama??
 
Im disappointed mada ni nzur ila wachangiaji km mmelazimishwa... km kitu hujui acha wacomment wanaoweza kutufanya tujifunze kitu .... utani peleka majukwaa ya uchesh uko!!!
 
Mtu ana mwili, nafsi na roho... Roho imetoka kwa Mungu dats why tunaambiwa tumefanana na Mungu, Mwili n hili jumba la udongo na mavumbini litarudi ila nafsi ndio connection ya mwili na Roho... kwenye nafsi ndo kuna Hisia, nia, utashi na kuna moyo wa nafsi... Mith 23:7 aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo....
 
Lakini itategemea aliishi vip
Kama alikuwa mtu mwema atazaliwa tena kama binadamu lakini kama alikuwa mtenda maovu atazaliwa kama paka, mbwa, panya nk

je huyo panya au mbwa akifa roho yake inaenda wapi au kinaangaliwa nn ili azaliwe tena kwenye apearance ya hicho kiumbe?
kama ukitenda mema unazaliwa binadam tena je ni kwann huwa hatuna kumbukumbu na maisha ya mwanzo?
je watu wanaotenda mabaya kwasasa roho zao zilikuwa za wanyama gani?
 
Back
Top Bottom