Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaani wewe unatumbua nini kwenye ubongo wako?

Tafsiri yake ni mchongo wakijinga sana ikiwa unaweza kuupuza wewe puuza tuu kwani thamani yake hailingani na aibu unayo weza kupata ikiwa mchongo mchongoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…