FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hii nimeshajaribu mara kadhaa, ukicheki dashboard mshale unasoma 120kph, gari inaenda kasi, lakini unaona kama imesimama hivi.., ukicheki nje unaona kabisa hii gari haizidi 30kph..,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kulewa, hulewi, ila kuna hiyo hali ya kuona dunia inaaenda slow halafu unakuwa very sharp. Yaani kila kitu kina slow down, ila wewe ndio unaendelea kumove kwa speed ya kawaida..Castle lite 4 unalewaje ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unalewaa ngapiiii?Mwanaume unalewa castle lite 4? Lite? Sasa lager itakuwaje?!
Mwanaume kunywa Lite Beer sio sawa.Hii nimeshajaribu mara kadhaa, ukicheki dashboard mshale unasoma 120kph, gari inaenda kasi, lakini unaona kama imesimama hivi.., ukicheki nje unaona kabisa hii gari haizidi 30kph..,
Akinywa hata Grants sijui itakuwaje, Castle lite ni juice ya tunda iliyochangamkaCastle lite 4 unalewaje ?
Uduguu castle lite mwanaume analewaje? 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unalewaa ngapiiii?
Huyu anaweza kulewa hata redsMwanaume unalewa castle lite 4? Lite? Sasa lager itakuwaje?!
😂😂😂 Hawa ndio wakilewa wanatoa siri zao zote mpk za kubakwa utotoniHuyu anaweza kulewa hata reds
🤣🤣🤣Duh,😂😂😂 Hawa ndio wakilewa wanatoa siri zao zote mpk za kubakwa utotoni
Huyo mtu ni KICHWA PANZI!Hii nimeshajaribu mara kadhaa, ukicheki dashboard mshale unasoma 120kph, gari inaenda kasi, lakini unaona kama imesimama hivi.., ukicheki nje unaona kabisa hii gari haizidi 30kph..,