Mtu akinywa castlelite 4, kisha akaendesha gari 120kph, anajihisi kama 30kph, sababu ni ipi hasa?

Mtu akinywa castlelite 4, kisha akaendesha gari 120kph, anajihisi kama 30kph, sababu ni ipi hasa?

Lite beer zilikuwa designed kwa ajili ya watu wa dar na kwa mikoani ni kwa ajili ya mademu. Ila ndivyo tena... kila mtu anakunywa.

Drink and drive -castle lite nne ni sawa na togwa ya ulanzi.
Don't drink and walk
 
Uduguu castle lite mwanaume analewaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hizo napiga kreti km kirimanjaro water
Aaaaaaiiiiiih semaa kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hesabu hiyo ndogo sana
Chukua 120kph ÷castlelite 4
Utaona speed inakuwa 30kph
Rahisi tu , utaona ukinywa 6 speed inarudi hadi 20 kph
Hivyo ili usipigwe tochi za kuzidi 50kph kunywa kuanzia 3
 
Back
Top Bottom