sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
1. Wanamuweza Gwajima ndio maana wakafanya walioamua, ndiomaana hayakufanywa kwa mdhehebu mengine.
2. Wanaiweza CHADEMA ndio maana wakaamua kufanya maamuzi yao.
3. Wanawaweza Wananchi ndio maana wamefunga Twitter ila viongozi wanaitumia,
4.Kama wananchi wangekua na power, wabunge wangelua wanyenyekevu kwa wananchi na si kwa mwenyekiti wa chama, wanafanya hivyo kwakua wanawaweza wananchi.
Hata boss akiona anakuweza, atakupa kazi mida ambao ni wamapunziko au wakwenda nyumbani
It goes to everyone and everything.
Mtu akiwa hakuwez, anakuheshimu na anajifikiria marambili maamuzi yake anayotaka kuyafanya juu yako.
JE! WEWE UNAWEZWA?