Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Yeah sure,tupo vizuri!
Baada ya yote pole sana kwa msiba wa mama tunamuomba Mungu aendelee kumpumzisha.
100%Yeah sure,tupo vizuri!
Baada ya yote pole sana kwa msiba wa mama tunamuomba Mungu aendelee kumpumzisha.
Pole mkuuKuna wale waliobahatika kushuhudia siku za mwisho za wapendwa wao wakiwa hospitali kuna Ile aibu wanaipata dakika za mwisho wakitaka kukata roho🥺nilipata kuishuhudia
Sema nini wakuu Tuombe mwisho mwema
Binafsi hio kitu imeniathiri sana kisaikolojia sana nilipata kumpa chakula marehemu masaa machache kabla ya umauti wake (alikuwa ameshanisahau mpaka Jina langu) alikumbuka tu mimi ni mwanae Ila hakukumbuka Ata jina langu
Najua kuna Watu mna experience kuna Watu huwa wanafariki lakini ni ngumu kuwasahau matendo mfano nyerere,kanumba, Gadafi, bibi titi
na kuna Watu huwa wakifa kuwa sahau ni rais
Nikimkumbuka mpendwa mama mzazi wangu najikuta naingia kwenye dimbwi la mawazo vidonda vya tumbo vinakuja kwa kasi haswa namna alivyokuwa anaweza kusocialize na watu mbalimbali(hio kitu sijabarikiwa sio social sana )
Alikuwa kiunganishi sana cha watu nakumbuka watu wengi walioa kupitia wafanyakazi mbalimbali waliofanya kazi na mama. Watu walipata ridhiki mbalimbali msiba wake uliuzuliwa na watu zaidi ya 1000, na ni kijijini hii inaonesha ni kiasi gani alikuwa kipenzi cha watu
Mwishowe mpaka natamani kumfata aliko. 🤔Jamii forum imekuwa familia kwangu napata faraja sana mjadala mbalimbali kubadilishana mawazo
Dah Sema shukrani kwa wanajamii kwa ujumla. 💪Mpo vizui
Wazuri hawadumu mkuu.Kuna wale waliobahatika kushuhudia siku za mwisho za wapendwa wao wakiwa hospitali kuna Ile aibu wanaipata dakika za mwisho wakitaka kukata roho🥺nilipata kuishuhudia
Sema nini wakuu Tuombe mwisho mwema
Binafsi hio kitu imeniathiri sana kisaikolojia sana nilipata kumpa chakula marehemu masaa machache kabla ya umauti wake (alikuwa ameshanisahau mpaka Jina langu) alikumbuka tu mimi ni mwanae Ila hakukumbuka Ata jina langu
Najua kuna Watu mna experience kuna Watu huwa wanafariki lakini ni ngumu kuwasahau matendo mfano nyerere,kanumba, Gadafi, bibi titi
na kuna Watu huwa wakifa kuwa sahau ni rais
Nikimkumbuka mpendwa mama mzazi wangu najikuta naingia kwenye dimbwi la mawazo vidonda vya tumbo vinakuja kwa kasi haswa namna alivyokuwa anaweza kusocialize na watu mbalimbali(hio kitu sijabarikiwa sio social sana )
Alikuwa kiunganishi sana cha watu nakumbuka watu wengi walioa kupitia wafanyakazi mbalimbali waliofanya kazi na mama. Watu walipata ridhiki mbalimbali msiba wake uliuzuliwa na watu zaidi ya 1000, na ni kijijini hii inaonesha ni kiasi gani alikuwa kipenzi cha watu
Mwishowe mpaka natamani kumfata aliko. 🤔Jamii forum imekuwa familia kwangu napata faraja sana mjadala mbalimbali kubadilishana mawazo
Dah Sema shukrani kwa wanajamii kwa ujumla. 💪Mpo vizui
Pole sana mkuu kwa kumpoteza mtu muhimuWazuri hawadumu mkuu.
Umenikumbusha mama yangu
Alivyokuwa mkarimu.
Kwetu watu wazima hasa akina mama na watoto walikuwa hawapungui.
Siku moja baba yetu karibu azimie baada ya kutoka safari...alishtushwa kukuta watu wamejaa home, ghafla akishtuka akihisi labda msiba umetokea na hajajulishwa....daah kigo ni konyo sana
Asante sana mkuu.Pole sana mkuu kwa kumpoteza mtu muhimu
Tunamshukuru MUNGU kwa ajili ya maisha yao, I lost Mom and dad muda mrefu Tu.... nasikitika hata baadhi ya wanangu hawakubahatika kuwafahamu wazazi WanguMwishowe mpaka natamani kumfata aliko. 🤔Jamii forum imekuwa familia kwangu napata faraja sana mjadala mbalimbali kubadilishana mawazo
We na mleta uzi wot makanjanja. Huzuliwa, sengelema, ni aibu.