Mtu akiwa anakaribia kukata roho huwa anaona aibu kuangalia usoni watu wanaokuwa karibu yake

Kuna sababu kadhaa za kiafya na kisaikolojia zinazoelezea hali hiyo. Mtu anapokaribia kufariki, mwili wake huwa unapitia mabadiliko mbalimbali ambayo yanaathiri mfumo wa fahamu, ikiwa ni pamoja na uwezo wa kuona. Baadhi ya sababu ni hizi:

Kuzorota kwa mzunguko wa damu: Damu na oksijeni hupungua katika viungo na kuzingatia maeneo muhimu zaidi kama moyo na ubongo.

Kusababisha hali ya hofu au utulivu: Mtu anapokaribia kufariki, akili inaweza kuanza kuchukua hali ya kutotambua mazingira yanayomzunguka.

Hali ya karibu na kifo (Near-death experience): Watu wengi walio karibu na kifo huripoti hali ya mwanga, utulivu wa ajabu, au kushindwa kuona.
 
Yeah sure,tupo vizuri!

Baada ya yote pole sana kwa msiba wa mama tunamuomba Mungu aendelee kumpumzisha.
 
Mimi wengi niliowashuhudia.
Walianza kwanza kupoteza fahamu, halafu baadae sana ndio roho inawatoka.

So hivo vitendo vya kuonea mtu aibu vinakuwa havipo.
 
Kuna wale waliobahatika kushuhudia siku za mwisho za wapendwa wao wakiwa hospitali kuna Ile aibu wanaipata dakika za mwisho wakitaka kukata roho🥺nilipata kuishuhudia

Sema nini wakuu Tuombe mwisho mwema

Binafsi hio kitu imeniathiri sana kisaikolojia sana nilipata kumpa chakula marehemu masaa machache kabla ya umauti wake (alikuwa ameshanisahau mpaka Jina langu) alikumbuka tu mimi ni mwanae Ila hakukumbuka Ata jina langu

Najua kuna Watu mna experience kuna Watu huwa wanafariki lakini ni ngumu kuwasahau matendo mfano nyerere,kanumba, Gadafi, bibi titi
na kuna Watu huwa wakifa kuwa sahau ni rais

Nikimkumbuka mpendwa mama mzazi wangu najikuta naingia kwenye dimbwi la mawazo vidonda vya tumbo vinakuja kwa kasi haswa namna alivyokuwa anaweza kusocialize na watu mbalimbali(hio kitu sijabarikiwa sio social sana )

Alikuwa kiunganishi sana cha watu nakumbuka watu wengi walioa kupitia wafanyakazi mbalimbali waliofanya kazi na mama. Watu walipata ridhiki mbalimbali msiba wake uliuzuliwa na watu zaidi ya 1000, na ni kijijini hii inaonesha ni kiasi gani alikuwa kipenzi cha watu

Mwishowe mpaka natamani kumfata aliko. 🤔Jamii forum imekuwa familia kwangu napata faraja sana mjadala mbalimbali kubadilishana mawazo

Dah Sema shukrani kwa wanajamii kwa ujumla. 💪Mpo vizui
Pole mkuu
 
Sababu sio kwamba anakuonea aibu the issue is anaona vitu ambavyo ninyi hamuoni so focus yake ipo kwao zaidi kuliko ninyi.
 
Kuna wale waliobahatika kushuhudia siku za mwisho za wapendwa wao wakiwa hospitali kuna Ile aibu wanaipata dakika za mwisho wakitaka kukata roho🥺nilipata kuishuhudia

Sema nini wakuu Tuombe mwisho mwema

Binafsi hio kitu imeniathiri sana kisaikolojia sana nilipata kumpa chakula marehemu masaa machache kabla ya umauti wake (alikuwa ameshanisahau mpaka Jina langu) alikumbuka tu mimi ni mwanae Ila hakukumbuka Ata jina langu

Najua kuna Watu mna experience kuna Watu huwa wanafariki lakini ni ngumu kuwasahau matendo mfano nyerere,kanumba, Gadafi, bibi titi
na kuna Watu huwa wakifa kuwa sahau ni rais

Nikimkumbuka mpendwa mama mzazi wangu najikuta naingia kwenye dimbwi la mawazo vidonda vya tumbo vinakuja kwa kasi haswa namna alivyokuwa anaweza kusocialize na watu mbalimbali(hio kitu sijabarikiwa sio social sana )

Alikuwa kiunganishi sana cha watu nakumbuka watu wengi walioa kupitia wafanyakazi mbalimbali waliofanya kazi na mama. Watu walipata ridhiki mbalimbali msiba wake uliuzuliwa na watu zaidi ya 1000, na ni kijijini hii inaonesha ni kiasi gani alikuwa kipenzi cha watu

Mwishowe mpaka natamani kumfata aliko. 🤔Jamii forum imekuwa familia kwangu napata faraja sana mjadala mbalimbali kubadilishana mawazo

Dah Sema shukrani kwa wanajamii kwa ujumla. 💪Mpo vizui
Wazuri hawadumu mkuu.
Umenikumbusha mama yangu
Alivyokuwa mkarimu.

Kwetu watu wazima hasa akina mama na watoto walikuwa hawapungui.

Siku moja baba yetu karibu azimie baada ya kutoka safari...alishtushwa kukuta watu wamejaa home, ghafla akishtuka akihisi labda msiba umetokea na hajajulishwa....daah kigo ni konyo sana
 
Pole sana mkuu kwa kumpoteza mtu muhimu
 
Mwishowe mpaka natamani kumfata aliko. 🤔Jamii forum imekuwa familia kwangu napata faraja sana mjadala mbalimbali kubadilishana mawazo
Tunamshukuru MUNGU kwa ajili ya maisha yao, I lost Mom and dad muda mrefu Tu.... nasikitika hata baadhi ya wanangu hawakubahatika kuwafahamu wazazi Wangu
 
Mungu azilaze mahali pema peponi roho za wapendwa wetu waliotangulia mbele ya haki
 
Back
Top Bottom