Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu.
Mimi siijui sana sheria kwani sio.taaluma yangu kabisa.
Well
Hapa ninapoishi kuna jirani yangu huyu mama mtu wa miaka Kati ya 30's . Huyu dada ni mtu wa mikopo sana sijui kausha damu mara vicoba sijui whatever anajua vyote.
Mara kadhaa amekuwa akija kujificha kwangu asubuhi sana watu wanaomdai wanakuja kumtafuta kwake.
Mumewe ni dereva wa magari makubwa anasafiri sana.
Sasa kilichonileta hapa ni moja. Dada huyu kanifuata leo jioni tu ananiuliza nimshauri Kuwa wanaomdai hasa mmoja huyo nati yake imevurugika kidogo.
Huyo mdai anamtishia dada huyu kuwa ataweka picha yake mitandao yote kuwa yeye ni tapeli nawatu wasimuamini.
Sasa dada anauliza kama hilo nalo ni kosa la kuvua utu wa mtu au avumilie tu kisa anadaiwa? Binafsi mimi sijui sana hayo mambo nikakosa cha kumjibu zaidi ya kuona kayakakanyaga..
Nadhani hapa tutapata jibu kabisa.