Mtu akiwa na umri wa miaka 23 mwenye uzito wa 48.8 kuna tatizo kiafya?

Mtu akiwa na umri wa miaka 23 mwenye uzito wa 48.8 kuna tatizo kiafya?

Utajua wewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2024
Posts
928
Reaction score
1,836
Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya.
Naomba kujuzwa kitaalamu.

Natanguliza shukurani!
 
Una urefu wa sentimita ngapi?

Google neno Body Mass Index halafu kokotoa, utajua status yako ya kiafya kama ni underweight, normal weight, Overweight, Obesity
 
eeeh wew,,m nafukuzia 60 kgs apa afu wew ata 50 bado🤣🤣,, what a toothpick,,, achana na mapenz zingatia kula
 
Kama una urefu 5:8 hamna madhara

Mimi ndo uzito wangu huo na huwa Nina hakikisha sizidi 50 japo age naelekea 27 years but I'm OK and energetically.
 
Uwo ni uzito mdogo sana. Kipindi na miaka 14 nilikuwa na kilo 45.

Kilo za mtu ziendane na urefu pia
 
Mm urefu wangu n 4.9 uzito ni 67. Niko kama kipipa hapa au kisim_tank. Unakwama wapi kijana?
 
Mm urefu wangu n 4.9 uzito ni 67. Niko kama kipipa hapa au kisim_tank. Unakwama wapi kijana?
 
kwa uzito wako nikikupiga kofi moja ni lazima ukalazwe 👿
 
Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya.
Naomba kujuzwa kitaalamu.

Natanguliza shukurani!
Kiafya na kwa watu wazima, uzito mara nyingi haulinganishwi na umri. Ni uzito vs urefu ndiyo ina-matter.
 
Back
Top Bottom