Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 1,964
- 3,496
Jinsia yako ni ipi, urefu wako ni upi? Tuanzie hapo kwanza.Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya.
Naomba kujuzwa kitaalamu.
Natanguliza shukurani!