Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Kwan mods mmegundua Wana Nini haswaa!?Mods msifungie uzi wangu
Ila wewe jamaa muongoHakikisha uzito wako, unaendana na urefu wako.
Wewe jamaa tutaelewana baadayeKama una urefu 5:8 hamna madhara
Mimi ndo uzito wangu huo na huwa Nina hakikisha sizidi 50 japo age naelekea 27 years but I'm OK and energetically.
Tutaelewana baadayeMm urefu wangu n 4.9 uzito ni 67. Niko kama kipipa hapa au kisim_tank. Unakwama wapi kijana?
Kiafya na kwa watu wazima, uzito mara nyingi haulinganishwi na umri. Ni uzito vs urefu ndiyo ina-matter.Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya.
Naomba kujuzwa kitaalamu.
Natanguliza shukurani!