Battor JF-Expert Member Joined Mar 21, 2019 Posts 1,964 Reaction score 3,496 May 14, 2024 #21 Utajua wewe said: Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya. Naomba kujuzwa kitaalamu. Natanguliza shukurani! Click to expand... Jinsia yako ni ipi, urefu wako ni upi? Tuanzie hapo kwanza.
Utajua wewe said: Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya. Naomba kujuzwa kitaalamu. Natanguliza shukurani! Click to expand... Jinsia yako ni ipi, urefu wako ni upi? Tuanzie hapo kwanza.
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,666 Reaction score 7,788 May 15, 2024 #22 Unauzito wa majogoo mawili ya Bata. Ongeza lishe
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 May 15, 2024 #23 Manyahe said: kwa uzito wako nikikupiga kofi moja ni lazima ukalazwe 👿 Click to expand... 🤣🤣🤣🙌