Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thread 'Kopo la kwanza, la pili, la tatu kageuka chatu...' Kopo la kwanza, la pili, la tatu kageuka chatu...Miakaa ya 1980 katka hapo cna uhakika na mwaka,ila kuna habari zikizagaaa .tu kageuka Chatu huko Buguruni.Lakin cha ajabu hakuna aliyesema kamuona kama ukikuwe au ulimuoana na unakumbuka mwaka sahihi tukumbushe,huku buguruni kuna mambo sana.Sasa scorpion mtoa macho wanasema ametoa watu wengi nikweli au kama mtu kageuka chatu tu.Mpk leo hakuna ukwel wa mtu kageuka chatu