Mtu aligeuka chatu Buguruniii nani alimuona?

Mtu aligeuka chatu Buguruniii nani alimuona?

Hizi ndio hoax news usikute kuna boko walikuwa wanaficha serikali nyingi za kiafrika hutumia huu mtindo wa kishamba ku divert agenda au jambo kubwa katika nchi.
 
Miakaa ya 1980 katka hapo cna uhakika na mwaka,ila kuna habari zikizagaaa .tu kageuka Chatu huko Buguruni.Lakin cha ajabu hakuna aliyesema kamuona kama ukikuwe au ulimuoana na unakumbuka mwaka sahihi tukumbushe,huku buguruni kuna mambo sana.Sasa scorpion mtoa macho wanasema ametoa watu wengi nikweli au kama mtu kageuka chatu tu.Mpk leo hakuna ukwel wa mtu kageuka chatu
Thread 'Kopo la kwanza, la pili, la tatu kageuka chatu...' Kopo la kwanza, la pili, la tatu kageuka chatu...
 
Back
Top Bottom