Mtu aliyeingia nchini kinyume cha utaratibu (bila vibali) anaweza pata haki ya kudhaminiwa?

zuujacob

Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
14
Reaction score
10
Wadau naomba kujua ni utalatibu gani wa ki haki na kisheria unaoweza kutumika ili uweze kumsaidia mtu aliedakwa kwa kuingia nchini bila kibali
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…