Mtu aliyekataa kumuhudumia Mzazi wake hadi anakufa, je, afanye nini ili laana imuepuke?

Mtu aliyekataa kumuhudumia Mzazi wake hadi anakufa, je, afanye nini ili laana imuepuke?

😂😂😂Hiyo ni karma kama wako hai fresh ila wakifa ndo balaa,Wengine pesa hWana za kuhudumia wazazi na tayar wao Wana familia zao.
 
Inategemeana na situations kipindi unagoma kuwahudumia ulikuwa genuine reason?

Kama haukuwa na genuine reason basi nenda makabaurini pao ukapige goti haraka sana.
 
Hakuna laana yoyote Ile hizo ni fikra potofu tu binadamu tu nadanganywa. Kafa yeye hujamuua nakumsaidia mtu au kutokumsaidia ni uamzi wako nahakuna kitakachokupata hata usipowasaidia
Unaweza kuwa sahihi na unaweza usiwe sahihi. Dunia tumeikuta na muda tulionao wa kuwa hai hautoshi kufahamu siri zake zote esp zile zisizoonekana kwa macho. Inawezekana kuna mambo mengi sana hatuyafahamu nje ya haya tunayoyafahamu.
 
Hakuna laana yoyote Ile hizo ni fikra potofu tu binadamu tu nadanganywa. Kafa yeye hujamuua nakumsaidia mtu au kutokumsaidia ni uamzi wako nahakuna kitakachokupata hata usipowasaidia

Una muamini mungu ! kama uwezi kuamini hapa duniani kwa binadamu utaweza kuamini usiye muona
 
Inategemea mzazi alikuwa na mahusiano ya Aina gani na mtoto wake,mfano,ikatokea mzazi alikukataa,alikukimbia,hakukupa haki matunzo na malezi utotoni,anapozeeka na Mambo kuanza kuwa magumu,anaanza kurusha maneno ya laana kwa mtoto,hiyo unaizungimziaje?
 
Siyo jukumu la mtoto “kumhudumia“ Mzazi ndio maana kuna Ndoa, Mume/Mke wana jukumu la kuhudumiana, Mtoto ana jukumu la kuhudumia watoto na familia yake (watoto Mke/Mme) kwanza kabla ya mtu mwingine yoyote yule!
 
Mtu aliyekataa kumuhudumia Mzazi wake hadi anakufa, je, afanye nini ili laana imuepuke?

Mshana Jr

Bujibuji Simba Nyamaume mchungaji

Yaani Maisha ni hatari curse is real.
Ni dhambi mzazi (Mkristo) kufa ukiwa masikini na kushindwa kuachaburithi hadi kwa vitukuu wako.

Pia mtoto anawajibika kuwatunza wazazi wake na jamii yake. Maandiko yanasema "Mpende jirani kama nafsi yako". Kama jirani tu, unatakiwa kumpenda kama nafsibyako, vipi wazazi wako?
 
Kwani hata ungemuhudumia unafikiri angepona ? Mimi iman juu ya dini yangu nachoamini ni kuwa alicho kikadiria Mungu kitatokea tu hata muungane dunia nzima kukizuia, na alicho kizuia Mungu hakitatokea hata Muungane dunia nzima kukitekeleza
 
Una muamini mungu ! kama uwezi kuamini hapa duniani kwa binadamu utaweza kuamini usiye muona
Nipe udhibitisho ambao unaonekana Kwa macho naunaweza kuugusa kuwa laana is really. Matatizo ya Dunia nyie mnasema laana, yani mzazi kafa hukumsaidia kesho yake ukapata AJALI ya pikipiki ukakatwa mguu basi moja Kwa moja utasema laana ya wazazi kumbe ni tukio ambalo halihusiani kabisa na wazazi ni tukio ambalo unaweza kupata hata kama unatunza wazazi na kusali masaa 24 siku saba za wiki.

Shida yenu iko hiv... Ukipata matatizo kama husaidii wazazi mnahukumu eti ni laana... Wakati huohuo ukiwa mcha Mungu nakutunza wazazi ukipata matatizo mnageuka mnasema ni Mungu anakupima Imani yako. Acheni hizi illusion hakunaga kitu kama hicho wewe ishi uonavyo fanya uonavyo.

N. B. Kutunza wazazi na wenye uhitaji ni jambo jema sana tena uwe mcha Mungu. Tutende mema ili tuwe na Amani ya moyo
 
Inategemeana na situations kipindi unagoma kuwahudumia ulikuwa genuine reason?

Kama haukuwa na genuine reason basi nenda makabaurini pao ukapige goti haraka sana.
Kupiga magoti kwenye makaburi ni ibada za kishirikina tu marehem kashalala hawezi kukusamehe dhambi na hawezi kukudhuru wala kukunufaisha kama unataka unaamini ulitenda dhambi ni kuomba toba kwa Mungu tu haina haja ya kwenda kupigia goti maiti juu ya kaburi
 
Hapo inategemea
Kama alikua anatamani kumuhudumia alafu uwezo hana hata mzazi aache laana haitampata huyo mana Mungu ni mwaminifu!
Ukisema ufate kabisa maandiko yenyewe yanasema fedha na mali mtu hupewa na babaye ila siku hizi wanadamu tumeenda vise versa yani ela badala tupewe na wazazi sisi ndo tunatakiwa tuwape na ndo mana circle ya umaskini haiishi kabisa!
Mimi nnachojua cha hakika ukimdharau au kumtukana mzazi utapata laana ila kumhudumia sidhani as wengine uwezo hawana hata hizo laana zenyewe inabidi zione aibu kidogo!
 
Back
Top Bottom