DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Unaweza kuwa sahihi na unaweza usiwe sahihi. Dunia tumeikuta na muda tulionao wa kuwa hai hautoshi kufahamu siri zake zote esp zile zisizoonekana kwa macho. Inawezekana kuna mambo mengi sana hatuyafahamu nje ya haya tunayoyafahamu.Hakuna laana yoyote Ile hizo ni fikra potofu tu binadamu tu nadanganywa. Kafa yeye hujamuua nakumsaidia mtu au kutokumsaidia ni uamzi wako nahakuna kitakachokupata hata usipowasaidia
Kuna ndugu yangu ndo anapitia hii changamotoUshaanza kuona maruwe ruwe?
Hakuna laana yoyote Ile hizo ni fikra potofu tu binadamu tu nadanganywa. Kafa yeye hujamuua nakumsaidia mtu au kutokumsaidia ni uamzi wako nahakuna kitakachokupata hata usipowasaidia
Ni dhambi mzazi (Mkristo) kufa ukiwa masikini na kushindwa kuachaburithi hadi kwa vitukuu wako.Mtu aliyekataa kumuhudumia Mzazi wake hadi anakufa, je, afanye nini ili laana imuepuke?
Mshana Jr
Bujibuji Simba Nyamaume mchungaji
Yaani Maisha ni hatari curse is real.
Nipe udhibitisho ambao unaonekana Kwa macho naunaweza kuugusa kuwa laana is really. Matatizo ya Dunia nyie mnasema laana, yani mzazi kafa hukumsaidia kesho yake ukapata AJALI ya pikipiki ukakatwa mguu basi moja Kwa moja utasema laana ya wazazi kumbe ni tukio ambalo halihusiani kabisa na wazazi ni tukio ambalo unaweza kupata hata kama unatunza wazazi na kusali masaa 24 siku saba za wiki.Una muamini mungu ! kama uwezi kuamini hapa duniani kwa binadamu utaweza kuamini usiye muona
Kupiga magoti kwenye makaburi ni ibada za kishirikina tu marehem kashalala hawezi kukusamehe dhambi na hawezi kukudhuru wala kukunufaisha kama unataka unaamini ulitenda dhambi ni kuomba toba kwa Mungu tu haina haja ya kwenda kupigia goti maiti juu ya kaburiInategemeana na situations kipindi unagoma kuwahudumia ulikuwa genuine reason?
Kama haukuwa na genuine reason basi nenda makabaurini pao ukapige goti haraka sana.